View attachment 1399376View attachment 1399378
Ukisaga hii kitu inanukia kama sanitizer kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sa hivi mie navaa gloves,kila baada ya masaa mawili hadi matatu nabadili....nimechoka kunawa kila muda
Hiv ukivaa gloves, ukifika sehem kama benk,hospital, mwendokas etc. Hawakuambii vua unawe?Sa hivi mie navaa gloves,kila baada ya masaa mawili hadi matatu nabadili....nimechoka kunawa kila muda
Hiv ukivaa gloves, ukifika sehem kama benk,hospital, mwendokas etc. Hawakuambii vua unawe?
πππ
Kama huijui hii sabuni ukikazana kutenda mema kidogo tu unaenda mbinguni.Eva ndo sabuni gani?