Yaani Man united ni vichekesho tu ona huyu

Yaani Man united ni vichekesho tu ona huyu

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
I nashangaza unapoona watu wanaokusaidia unawatupa
Screenshot_20240519_140904_Chrome.jpg

Huyu kijana anajitahidi na anacheza kwa kujituma. Unamuachiaje??
 
Manjestaa ina quality Gani Sasa hivi?
Timu inahitaji marekebisho makubwa sana na uyo amrabat ni mmoja ya wanaotakiwa kuondoka, hawa wengine wakina magwaya kuwatoa inatakiwa busara kidogo kwa sababu bado wana mikataba kwaiyo timu itaingia hasara ya kulipa gharama za kuvunja mikataba suluhisho ni kuwauza zikitokea timu zinazowahitaji ila hawa ambao wapo kwa mkopo au mikataba yao imeisha mfano amrabat, varane, evans n.k wanaweza kuondoka tu
 
Japo manu kwa sasa ni tia maji tia maji ila amrabat sio kiwango cha manu, hata kusajiliwa kwake nilishangaa sana
Sure mzee jamaa quality ndogo sana yule na kuna takataka nyingi sana pale za kuondoa pale antony, magwaya, evans, varane, mount, amad diallo, erriksen, martial wote ni wa kusepa ,akipatika 6 mzuri basi casemiro nae anaweza ruhusiwa tu kuondoka, rashford anatakiwa kuamka msimu huu amekua ovyo sana. Kwa kuanzia tunahitaji beki wa kati wa kuzima na bucha kule nyuma, namba 6 na 8 visheti na winga mmoja anaetumia left foot wa kushambulia kutoka upande wa kulia mfano marlhez au yule olise wa crystle palace halafu maboresho mengine yataendelea kuanzia hapo
 
Quality yake sio ya kucheza man utd, ni mzito na anapoteza sana pasi kwenye maeneo hatari

tatizo sio yeye, tatizo ni Man Utd, anakamata mpira halafu unakuta hakuna hata mtu anaekuja kuomba mpira utegemee nini? Hata Xavi angelishinda kucheza Man Utd hii.
 
ikiwa amrabt ni below standard, standard ya Man Utd ni nani? Casemiro? au Mount?
kwa sasa man u wachezaji wengi ni wenye uwezo wa kawaida sana, kuwa na wachezaji wengi wa kawaida sio uhalali wa kufumbia macho ubovu wa amrabat. Amrabat hayupo peke yake wapo below standards wengine pia wanatakiwa kuondoka. Huyo amrabat kumtoa ni rahisi kwa sababu yupo kwa mkopo ila wengine mfano magwaya, martial, antony n.k kuwatoa ni mchakato kwa sababu wana mikataba
 
Sure mzee jamaa quality ndogo sana yule na kuna takataka nyingi sana pale za kuondoa pale antony, magwaya, evans, varane, mount, amad diallo, erriksen, martial wote ni wa kusepa ,akipatika 6 mzuri basi casemiro nae anaweza ruhusiwa tu kuondoka, rashford anatakiwa kuamka msimu huu amekua ovyo sana. Kwa kuanzia tunahitaji beki wa kati wa kuzima na bucha kule nyuma, namba 6 na 8 visheti na winga mmoja anaetumia left foot wa kushambulia kutoka upande wa kulia mfano marlhez au yule olise wa crystle palace halafu maboresho mengine yataendelea kuanzia hapo
Hao wote unaowaita takataka walienda Man u wakiwa na viwango vya juu , timu mbovu man u imewaharibu , shida ya Man u mbona ipo wazi , ni uongozi wa juu upo reluctant na mambo ya Mpira , yaani hawana habari, zigo ameachiwa manager , inakuwa kaz ngumu Sana , .... Uongozi wa juu unatakiwa uwe active Sana kufatilia nini kinafanyika uwanjani , hvyo ndo timu kubwa zinafanya .....

Leo hii wewe hapo fungua kampuni alaf umpe manager kila kitu wewe ukae pembeni hufatilii uone kama kampuni itaenda .... Uwanja mvua ikinyesha unajaza maji hapo kuna timu sasa ,
 
Itakua wewe shabiki wa arsenal au Liverpool ambae hatutakii mema,Huyo Jamaa Wa kawaida Sana,ndio maana mtoto Maino alipopata nafasi,amrabat akawekwa Bench Hadi Leo,huyo mtu aende tu,kafungisha sana,faulo Sana,kama ana wasiwasi muda wote
 
Hao wote unaowaita takataka walienda Man u wakiwa na viwango vya juu , timu mbovu man u imewaharibu , shida ya Man u mbona ipo wazi , ni uongozi wa juu upo reluctant na mambo ya Mpira , yaani hawana habari, zigo ameachiwa manager , inakuwa kaz ngumu Sana , .... Uongozi wa juu unatakiwa uwe active Sana kufatilia nini kinafanyika uwanjani , hvyo ndo timu kubwa zinafanya .....

Leo hii wewe hapo fungua kampuni alaf umpe manager kila kitu wewe ukae pembeni hufatilii uone kama kampuni itaenda .... Uwanja mvua ikinyesha unajaza maji hapo kuna timu sasa ,
Sio kweli labda martial na diallo walisajiriwa wakiwa wadogo kwaiyo tuliangalia potential zaidi ila hao wengine wote ni usajiri mbovu. Erriksen na evans tumesajiri umri ushaenda, varane ni injury prone tangu yupo madrid, uyo antony tangu ajax mpira wake ndio huu huu tu anaonekana yupo bize uwanjani lakini hakuna cha maana anachofanya, mount kama ilivyo wachezaji wa uingereza wakiwa wanaibuka wanapambwa sana kuliko uwezo wao halisi baada ya muda inaonkeana hawana kitu. Tangu babu ameondoka recruitment ya wachezaji man u imekua mbovu almost wote waliosajiriwa ni below standard
 
Back
Top Bottom