Yaani Marekani anachezewa hivi na Irani? Kweli hakuna marefu yasio na mwisho

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump.

Anataka haki kamili na sio vitisho.

Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal.

Marekani anataka Iran na silaha yoyote huku yeye na Isreal wao wamiliki silaha.

Iran asiwe na mshirika lkn wao katka mkataba wawe na washirika wanaowataka.

Mkataba huu wazi sio wa marekani, marekani kama mwakilishi tu wa Isreal.

MAKAMO WA RAIS WA USA AMEENDA KARACHI PEKE YAKE HUKU AKISAFIRI MAELFU YA MAILI HUKU TIMU YA IRAN IKIWA KILOMETER CHACHE TU KUTOKA KARACHI WAMEGOMA.

HII NI DALILI TRUMP Kakutana na watu wenye akili
 
Funguka akili kaka,
1.Iran imetafutwa miaka mingi sana na marekani hivo ilijiandaa.

2. Hayo maandalizi hayakua ya Iran pekee bali washirika wakubwa wanaoelewa hila za USA—Russia,china,Korea ya juu na nchi za kijamaa zote hizo zipo nyuma ya Iran toka miaka mingi nyuma kwani walijua ipo siku USA atavamia pale.

Hivo kinachotokea na kufanya vita kuwa ngumu- siyo udhaifu wa marekani wala ubora wa Iran,bali ni vita isiyo na ushindi rahisi bila madhara makubwa. Hivo kila nguvu kubwa itakutana na nguvu kubwa ya madhara, iwe uchumi ama vifo. Na kwa mlolongo wa dunia ya sasa hakuna nchi inayopigana pekee yake bila washirika wa siri. Ikizuka vita ya 3 ya dunia haitakua kama ile ya kwanza wala ya pili- hii itakua ni ushetani uliodindisha ndonga na kubaka kila aina ya ya kiumbe kwenye matundu ya haja,huku ikikojoa shahawa za moto wa gesi,unadhani itakuaje sasa?-- kila kona ya dunia mtafikiwa na athari zinazo tisha. Mtoa mada matako yako acha kushabikia vita mbwa wewe!
 
Ushawahi kusikia kuna nchi ametuma silaha kwa Iran kama ulivyosikia Ukraine?
 
Ijapokua umemaliza kihuni lkn umepiga nondo za kweli.
 
Ushawahi kusikia kuna nchi ametuma silaha kwa Iran kama ulivyosikia Ukraine?
Iran unamsifu bure tu.
Ukrain ndio wa babe. Waliingia mpaka rusia wakateka maeneo. Drone zao zinapiga mpaka moscow. Mm nilitegemea irani aingie akapige pale kalifonia na makombora japo matatu tu , kama hana makombora ya kufika huko angetuma hata drone za shaheed basi. Sasa yeye anawaacha raia wa marekani wanakula bata anahangaika na dubai.
 
Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump.

Anataka haki kamili na sio vitisho.

Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal.

Marekani anataka Iran na silaha yoyote huku yeye na Isreal wao wamiliki silaha.

Iran asiwe na mshirika lkn wao katka mkataba wawe na washirika wanaowataka.

Mkataba huu wazi sio wa marekani, marekani kama mwakilishi tu wa Isreal.

MAKAMO WA RAIS WA USA AMEENDA KARACHI PEKE YAKE HUKU AKISAFIRI MAELFU YA MAILI HUKU TIMU YA IRAN IKIWA KILOMETER CHACHE TU KUTOKA KARACHI WAMEGOMA.

HII NI DALILI TRUMP Kakutana na watu wenye akili

Trump kichwa maji ndiomana Mike pence Makamu Rais wake wa mwanzo alimkimbia!!!

hakutaka mambo ya Ujinga ujinga kupelekwa pelekwa!!!

Trump akaona atafute makam Rais lkn Dogo dogo lengo lile lile kumpelepa paleka vile yeye anajisikia!!!
 
Trump kwasasa anagopa kushambulia Iranian so kaamua tu kuweka meza na kibanda chake kutanganya watu eti anazuiya Meli za Iranian !!!!

nawaambia kile kizuizi kimewekwa kwa kalele nyingi !!!
lkn kitaondoka kimyaa kimyaa

labda Iranian ndio atwambie jamani mjomba wenu Trump kang,oa kibanda chake🤠🤠
 
Back
Top Bottom