Ushawahi kusikia kuna nchi ametuma silaha kwa Iran kama ulivyosikia Ukraine?Funguka akili kaka,
1.Iran imetafutwa miaka mingi sana na marekani hivo ilijiandaa.
2. Hayo maandalizi hayakua ya Iran pekee bali washirika wakubwa wanaoelewa hila za USA—Russia,china,Korea ya juu na nchi za kijamaa zote hizo zipo nyuma ya Iran toka miaka mingi nyuma kwani walijua ipo siku USA atavamia pale.
Hivo kinachotokea na kufanya vita kuwa ngumu- siyo udhaifu wa marekani wala ubora wa Iran,bali ni vita isiyo na ushindi rahisi bila madhara makubwa. Hivo kila nguvu kubwa itakutana na nguvu kubwa ya madhara, iwe uchumi ama vifo. Na kwa mlolongo wa dunia ya sasa hakuna nchi inayopigana pekee yake bila washirika wa siri. Ikizuka vita ya 3 ya dunia haitakua kama ile ya kwanza wala ya pili- hii itakua ni ushetani uliodindisha ndonga na kubaka kila aina ya ya kiumbe kwenye matundu ya haja,huku ikikojoa shahawa za moto wa gesi,unadhani itakuaje sasa?-- kila kona ya dunia mtafikiwa na athari zinazo tisha. Mtoa mada matako yako acha kushabikia vita mbwa wewe!
Sera za washirika wa Iran si za kelele kama za washirika wa Ukraine! Ndiyo maana unaona marekani analalamika kuwa china inaisaidia Iran kwa siri- kifupi Iran ni wasiri sana pamoja na washirika wakeUshawahi kusikia kuna nchi ametuma silaha kwa Iran kama ulivyosikia Ukraine?
Ijapokua umemaliza kihuni lkn umepiga nondo za kweli.Funguka akili kaka,
1.Iran imetafutwa miaka mingi sana na marekani hivo ilijiandaa.
2. Hayo maandalizi hayakua ya Iran pekee bali washirika wakubwa wanaoelewa hila za USA—Russia,china,Korea ya juu na nchi za kijamaa zote hizo zipo nyuma ya Iran toka miaka mingi nyuma kwani walijua ipo siku USA atavamia pale.
Hivo kinachotokea na kufanya vita kuwa ngumu- siyo udhaifu wa marekani wala ubora wa Iran,bali ni vita isiyo na ushindi rahisi bila madhara makubwa. Hivo kila nguvu kubwa itakutana na nguvu kubwa ya madhara, iwe uchumi ama vifo. Na kwa mlolongo wa dunia ya sasa hakuna nchi inayopigana pekee yake bila washirika wa siri. Ikizuka vita ya 3 ya dunia haitakua kama ile ya kwanza wala ya pili- hii itakua ni ushetani uliodindisha ndonga na kubaka kila aina ya ya kiumbe kwenye matundu ya haja,huku ikikojoa shahawa za moto wa gesi,unadhani itakuaje sasa?-- kila kona ya dunia mtafikiwa na athari zinazo tisha. Mtoa mada matako yako acha kushabikia vita mbwa wewe!
Kwani chadema wale?Kama hataki ataadhibiwa vibaya, ni kipondo na vikwazo tu
Iran unamsifu bure tu.Ushawahi kusikia kuna nchi ametuma silaha kwa Iran kama ulivyosikia Ukraine?
Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump.
Anataka haki kamili na sio vitisho.
Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal.
Marekani anataka Iran na silaha yoyote huku yeye na Isreal wao wamiliki silaha.
Iran asiwe na mshirika lkn wao katka mkataba wawe na washirika wanaowataka.
Mkataba huu wazi sio wa marekani, marekani kama mwakilishi tu wa Isreal.
MAKAMO WA RAIS WA USA AMEENDA KARACHI PEKE YAKE HUKU AKISAFIRI MAELFU YA MAILI HUKU TIMU YA IRAN IKIWA KILOMETER CHACHE TU KUTOKA KARACHI WAMEGOMA.
HII NI DALILI TRUMP Kakutana na watu wenye akili