Yaani mashabiki wa Simba wanahamasishana amani kama vile wapo vitani-hahaha!

Yaani mashabiki wa Simba wanahamasishana amani kama vile wapo vitani-hahaha!

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
"....tuwe na umoja bado tunajenga timu."

"....tusiruhusu amani ipotee kwani itakuwa vigumu kuirejesha."

Maneno ya wana Simba.
 
Na tupo sahihi, tumefungwa na vyura mara ya nne hii, si jambo linalofurahisha.
 
Back
Top Bottom