Yaani miaka ijayo, tunapoelekea U.T.I itakuwa inaogopwa kuliko ukimwi

Yaani miaka ijayo, tunapoelekea U.T.I itakuwa inaogopwa kuliko ukimwi

Nakubusu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2022
Posts
856
Reaction score
2,076
Yaani miaka ijayo,tunapoelekea U.t.i itakuwa inaogopwa kuliko ukimwi. Kila sehemu U.T.I sugu yaani balaa tupu,mbaya zaidi uwe kwenye mahusiyano afu umwee ijulikane U.T.I mara mbili, tatu unaachwa🤭.
 
Yaani miaka ijayo,tunapoelekea U.t.i itakuwa inaogopwa kuliko ukimwi.Kila sehemu u.t.i sugu yaani balaa tupu,mbaya zaidi uwe kwenye mahusiyano afu umwee ijulikane u.t.i mara mbili,tatu unaachwa🤭.

Haiwezekani, narudia tena haiwezekani UTI iogopwe kuliko ukimwi
Acha kujifariji
 
Back
Top Bottom