huijui bongo weweUsajili wa zaidi ya bilion halafu uuwe mtu ili iweje ?
Wameua nani Mkuu, nipo gizani.Ndiyo zao hao, yaani adi wauwe ndiyo washinde alafu waanza kulia lia ohooo Yondani afungiweohoo siyo muungwana..
Usijali sana Mzee Akilimali atashughulika Na ninyi "Yanga Uzushi"hivi karibuniWengi wataponda na kusema mengi kutokana na post hii, basi wacha
nifupishe, yaani kabisaaa mmemuondoa mtu wenu mmoja ili mushinde
mechi dhidi ya Yanga?
Najua wewe ni miongoni mwa wachache mtakaonielewa namaanisha nini,
Jiangalie sana GENTA ninahisi wewe ni miongoni mwa wanakamati, ipo siku
tu na wewe utatolewa kafara.
Ndiyo uzuri was matopeni. Akili yote ni kumfunga Yanga si ndoo ya VPLUzuri wa mechi hii, ni kwamba kandambili wengi walishajua kwamba wameelekezwa kibla.. Walikuwa wanasubiri kisu kipite tuu.. Halafu wengi wao wamefurahia kufungwa goli moja.. Maana wengi shaka yao walijua Okwi hakawii kuongoza mauaji zikafika au kupita zileeeeee..
Wanapambana sasa kutafuta points za mezani..
Ndiyo uzuri was matopeni. Akili yote ni kumfunga Yanga si ndoo ya VPL
Ipi hiyo? Tusubiri!Ndoo c ndiyo hiyo inabebwa kiulainiiii..
Ipi hiyo? Tusubiri!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha ha ha.. Ndo Kombe limeshabebwa.. Msubiri mwakani mje kucheza ndondo cup tuu..