Yaani mmemuua kabisa huyu mzee kwa ajili ya mechi?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Wengi wataponda na kusema mengi kutokana na post hii, basi wacha
nifupishe, yaani kabisaaa mmemuondoa mtu wenu mmoja ili mushinde
mechi dhidi ya Yanga?

Najua wewe ni miongoni mwa wachache mtakaonielewa namaanisha nini,
Jiangalie sana GENTA ninahisi wewe ni miongoni mwa wanakamati, ipo siku
tu na wewe utatolewa kafara.
 
alikua alie kuwa mkuu wa jiji kabla ya makonda ?
 
Ndiyo zao hao, yaani adi wauwe ndiyo washinde alafu waanza kulia lia ohooo Yondani afungiweohoo siyo muungwana..
 
Wengi wataponda na kusema mengi kutokana na post hii, basi wacha
nifupishe, yaani kabisaaa mmemuondoa mtu wenu mmoja ili mushinde
mechi dhidi ya Yanga?

Najua wewe ni miongoni mwa wachache mtakaonielewa namaanisha nini,
Jiangalie sana GENTA ninahisi wewe ni miongoni mwa wanakamati, ipo siku
tu na wewe utatolewa kafara.
Usijali sana Mzee Akilimali atashughulika Na ninyi "Yanga Uzushi"hivi karibuni
 
Nimegundua Yanga mwaka huu wameumia sana kuona mnyama anachukua kombe kuliko miaka mingine yoyote! Halafu hawakutegemea kama Simba wangefanya maajabu haya mwishoni mwa ligi
 
Uzuri wa mechi hii, ni kwamba kandambili wengi walishajua kwamba wameelekezwa kibla.. Walikuwa wanasubiri kisu kipite tuu.. Halafu wengi wao wamefurahia kufungwa goli moja.. Maana wengi shaka yao walijua Okwi hakawii kuongoza mauaji zikafika au kupita zileeeeee..

Wanapambana sasa kutafuta points za mezani..
 
Ndiyo uzuri was matopeni. Akili yote ni kumfunga Yanga si ndoo ya VPL
 
Back
Top Bottom