chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?
Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani. Imejaa kugawana madaraka tu, na nikiangalia sioni kama ntapata cheo chochote