Utaliwa Wali mwakaniMwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?
Miki hapa nimemaliza kati back ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani.
[/QUOTE
Utaliwa Wali mwakani 🐼
Utapatwa na kitambi ugali, Binadamu mwenye maisha ya kueleweka anatakiwa kula nyama, maziwa, kuku, samaki, mayai, maharage na mahindi mabichi kwa wingi/(Protein rich diet).Mwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?
Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani. Imejaa kugawana madaraka tu, na nikiangalia sioni kama ntapata cheo chochote
Ukipata muda ingia YouTube au boom play or elsewhereMwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?
Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani. Imejaa kugawana madaraka tu, na nikiangalia sioni kama ntapata cheo chochote
Ukitaka kuuza utuambie umeuza shingapMwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?
Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani. Imejaa kugawana madaraka tu, na nikiangalia sioni kama ntapata cheo chochote
Akili yako IMO tumboni, nakusikitikoaMwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?
Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani. Imejaa kugawana madaraka tu, na nikiangalia sioni kama ntapata cheo chochote
Kwani nani kakuomba kuondamana? Wewe kula kulala unaongojea mumeo alete chakula upike mle ndiyo maisha yako yanawaza kula na kuliwa tu.Mwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?