GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
E-Mail ni zaidi ya watsap, usitetee Uzembe.Inategemea na nature ya kazi ya mtu
Kuna aina ya kazi hauitaji kabisa email na kuna aina ya kazi email ni muhimu kuliko maelezo
BTW siku hizo Whatsap imekua mbadala wa email na kimsingi inafanya vizuri zaidi kuliko email kwenye swala zima la mawasiliano na ndio maana email watu wengi wanaipotezea
Mkuu unge dadafu hoja yako wakati huo huo ukizingatia mazingira ya wasomi wengi wanaotumika serikalinil
E-Mail ni zaidi ya watsap, usitetee Uzembe.
Tena emails zenyewe link ipo mpaka simu za kichina.Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa hatuzitumii kama ambavyo naona Waliotutangulia Kimaendeleo na hata kwa Akili wanavyozitumia.
Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa hatuzitumii kama ambavyo naona Waliotutangulia Kimaendeleo na hata kwa Akili wanavyozitumia.
Nature gani? Msomi huhitaji nature kutumia Email.Inategemeana na nature ya kazi yako.
Msiwafrustrate wasomi aisee.
Wabongo wanawasiliana zaidi wka sms, simu na whatsapp so kama mtu kazi zake anadeal na wabongo hapa hapa email kwake inaweza isiwe na maana kuifungua. hivyo mimi nawaelewa maana huwezi fungua email kama hutarajii kupokea chochote ni sawa na kusubiri train kituo cha daladala makumbushoEmail zimebaki na Matumizi yakudowloadia App Playstore.
Wasomi wengi sio Wajanja..!!
Email kua nayo ni muhimu ila hiyo kuiangalia mara kwa mara ndo inahitajika kujua unafanya nini??Nature gani? Msomi huhitaji nature kutumia Email.
Inawezekana hii kweli rafiki? Mbona naona wasomi wako active sana kwenye hayo mamboWasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa hatuzitumii kama ambavyo naona Waliotutangulia Kimaendeleo na hata kwa Akili wanavyozitumia.
Huwa inanishangaza kuona msomi hatumii jamiiforum yupo zake bize na kufuatilia Leo mond amepost Nini wangeni wanashindwa YouTube kwenye channel za udaku lakini yote yote kupanga ni kuchaguaMwingine hata Jamii forums haijui.
Tunailaumu ccm lakini shida iko kwetu kwanza kabla hata hiyo ccm