Yaani natafuta pesa kwa shida hivi, halafu wewe unaniomba nikikuambia sina unanuna?

Yaani natafuta pesa kwa shida hivi, halafu wewe unaniomba nikikuambia sina unanuna?

[emoji3][emoji3][emoji3]. Nashukuru. Wangu ni muelewa. Nikimwambia ntakupa anaelewa. Hapa nilipo Nina kiporo. Kesho natakiwa nikilipe. Ntampa.
Mmmm sawa baba ila tambua sasa hivi ma omba omba wameongezeka waTz vyuma vimekaza ila wanahisi vyuma vyako vimerelax tu muda wote.Tatizo ukijifanya wewe ni mtoaji sana wanaambiana huku huyu mwenye jibu la sina anabaki bila kusumbuliwa
 
Hata huwa sijui kwanini kama ndio mmeanza mahusiano na mdada anakuomba hela ukimwambia huna kwa wakati huo ananuna na hata mawasiliano na wewe anakata kabisa na hataki tena, sasa sijui alikukubalia ili uwe mfadhili na ameona tu amekujaribu na ameamua ku judge kuwa huna lolote, hata mwanaume anajiuliza hivi huyu alinikubalia ni kwa ajili ya kuwa mfadhili sasa sijampa ameonyesha alichokuwa anakitaka sasa hana uhakika wa kukipata anaamua kusepa mazima nafikiri wanakuwa kimaslahi zaidi maana yake sio watu wazuri.
 
Mmmm sawa baba ila tambua sasa hivi ma omba omba wameongezeka waTz vyuma vimekaza ila wanahisi vyuma vyako vimerelax tu muda wote.Tatizo ukijifanya wewe ni mtoaji sana wanaambiana huku huyu mwenye jibu la sina anabaki bila kusumbuliwa
Ukiwa kwenye mahusiano. Lazma uwe tayari kwa yote.
Asiponiomba mimi Atamuomba Nani?
 
Ukiwa kwenye mahusiano. Lazma uwe tayari kwa yote.
Asiponiomba mimi Atamuomba Nani?
Hakuna kitu sikipendi kama hali ya mahusiano ya kibongo yaani mwanamke anakuwa receiver na mwanaume anakuwa donor/giver
 
Mwanamke habebeki leo asubuh nimetumiwa text ya shukrani asante fredy pesa nimeipata wakat mim sio fredy......mtatuua wadada
 
Hakuna kitu sikipendi kama hali ya mahusiano ya kibongo yaani mwanamke anakuwa receiver na mwanaume anakuwa donor/giver
Mahusiano gharama mkuu.
Ukishindwa kabisa bora uwe single.au uwe wa nipe nikupe.
Najua hela inauma kutoa. Lakini utafanyaje. Na umemfuata mwenyewe.?
Na ukizingatia bado yupo home.
 
Mahusiano gharama mkuu.
Ukishindwa kabisa bora uwe single.au uwe wa nipe nikupe.
Najua hela inauma kutoa. Lakini utafanyaje. Na umemfuata mwenyewe.?
Na ukizingatia bado yupo home.
Mtu anafanya kazi kabisa hela zake hazikuhusu zangu zetu wote
 
Kwani ww unamuomba nani?!!!
8178ff92657343e0e825e1c8e060b11e.jpg

KUTAFUTA NI KAZI YA MWANAUME.
 
Mahusiano ya kimapenzi a.k.a mahaba niue ni gharama amini usiamini.

Kitendo cha kuwekana moyoni ni hatua kubwa sana ya kuona sehemu nyingine hakuna msaada isipokuwa kwako.

Upendo unapokolea vizuri, mpenzi wako anaweza kataa 50k ya sehemu nyingine, lakini akaitaka/kukuomba 20k yako.

Kama inawezekana mkuu, ahidi.
Ahidi utampatia siku flani, ila siku ukiipata umpe kweli ili kujenga imani nawe.

Acha kulialia utakosana na wengi.
Wanaume tumeumbwa mateso na kuchakarika.
 
Mliambiwa mtakula kwa jasho ni wajibu wenu kuzitafuta kwa bidii zote.
 
Back
Top Bottom