Yaani natafuta pesa kwa shida hivi, halafu wewe unaniomba nikikuambia sina unanuna?

kwani akikuomba usipomjibu wapungukiwa nini
 
We ni mwanaume[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Toa ahadi. Hata kama ya uongo. Mimi uwa nawaambia ntakupa.
Ntakupa ni bora kuliko kumwambia Sina.
Kuna wengine anakuomba leo akitaka kesho umpe, mwambie sina uone anavyonuna.

Nina mmoj hapa anaweza tu kunishtukiza kua kesho anataka laki 5, nikimwambia sina ananuna balaa, akipewa labda 3 bado atanuna. Ni shida tupu.
 
Henry keeps telling me he just turned 30
Having dreams of being single forever he’s getting worried And I’m scared too because I’m in the same boat
Good women are rare too, none of them have come close
 
Kuna wengine anakuomba leo akitaka kesho umpe, mwambie sina uone anavyonuna.

Nina mmoj hapa anaweza tu kunishtukiza kua kesho anataka laki 5, nikimwambia sina ananuna balaa, akipewa labda 3 bado atanuna. Ni shida tupu.
Huyo wako balaa.
 
wadada wa bongo muwe waelewa,wanaume tunatafuta pesa kwa tabu sana,so unaponiomba pesa nikakuambia sina, uelewe sina kweli sio unavimbisha mimashavu.
ona mfano wa jinsi wanaume tunavyorisk maisha yetu kwa ajiri ya kutafuta pesa
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…