Aibu sare za wanajeshi zinatolewa nje ya nchi kwasababu.
Kuna viwanda vya nguo kama A to Z ambavyo Bill gate foundation wanatoa pesa za ili watengeneze neti za mbu cha ajabu badala ya kutoa kazi kwa hizi kampuni tunaenda kuagiza sare kwa kulipa mabilioni
Yaani ni aibu sana kuagiza mpaka sare za wanajeshi wetu. Lakini kwanini wanajeshi wasitengeneze sare wenyewe! na kutoa kazi hapa nchini