Yaani serious kabisa Watanzania hamumjui anayewakamata na kuwateka Wafanyabishara wakubwa wa Singida?

Yaani serious kabisa Watanzania hamumjui anayewakamata na kuwateka Wafanyabishara wakubwa wa Singida?

Na nyie Wafanyabishara wa Singida kwanini hata kama mnataka Kugombea Ubunge ( wa Jimbo Moja ) msiwe Wasiri ( Wakimya ) na badala yake Mnapayuka hadi mnayemtishia Ubunge wake anajua na anaanza nae Kuwakomoeni Kimafia kama hivi?

Hata Mimi GENTAMYCINE nataka Kugombea Urais wa Tanzania lakini mmeshasikia nikisema ni mwaka gani au lini?

Niko njiani sasa kwenda Burundi kuishi huko kwani Tanzania naona maisha ni Magumu na kila Siku hali inazidi tu kuwa mbaya.

Hata hivyo kwakuwa naipenda Tanzania na hasa wana Mkoa wa Singida nikiwa huko nchini Burundi nitajitahidi niwe naitafutia Mechi za Kirafiki Klabu yetu ya Singida Big Star Fedha Fountain Gate na Vilabu vya Burundi na ninaamini wakiwa wanakuja Bujumbura watatumia Mabasi mazuri, mengi na ya Kisasa ya Esther.
Na utakuwa mzalendo wa kuvaa skafu!
 
TRA iingilie kati wateja wake kutekwa siyo? Ukizingatia imejipongeza kwa kuvuka lengo la maokoto kwa kukusanya 3 bil. kwa mwezi kati ya July -Dec,2023.
Ndo hivyo mkuu, badala ya majizi kujipimia kamba kwenye kodi aliyolipa mfanyabiashara huku yeye akiambulia kutekwa kwa kukosa ulinzi.
 
Back
Top Bottom