Yaani serious kabisa Watanzania hamumjui anayewakamata na kuwateka Wafanyabishara wakubwa wa Singida?

Na utakuwa mzalendo wa kuvaa skafu!
 
TRA iingilie kati wateja wake kutekwa siyo? Ukizingatia imejipongeza kwa kuvuka lengo la maokoto kwa kukusanya 3 bil. kwa mwezi kati ya July -Dec,2023.
Ndo hivyo mkuu, badala ya majizi kujipimia kamba kwenye kodi aliyolipa mfanyabiashara huku yeye akiambulia kutekwa kwa kukosa ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…