Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
Kuna siku moja nilimuomba honey wangu angalau tuhamishie "game" kwenye kakochi ketu chumbani. Lengo ni kujaribu kutafuta radha kutoka kiwanja tofauti na kile tulichozoea kila siku "kitanda chetu". Kwa kweli zoezi lilifana mpaka mamaaa akauliza nilipojifunzia hiyo kitu.
Sasa tatizo siku hizi hata kitanda mwenzangu amekitoa kwenye mahesabu na hasa linapokuja suala la "malavidavi" ni kwenye kiti tu mkienda kitandani ni kulala tu hata kama nataka kupambazua inabidi tuhame.
Tumeshavunja kicho kiti mara 3 mshikaji ukimshauri tofauti anakuwa mbogo ile mbaya kisa eti hapo ndipo yeye mzuka wake ninapoupandisha na kuushusha...Dah! mpaka naogopa kubuni mambo mengine maana huenda akanogewa ikawa tabu!!!!!!.....