Yaani we ni mfupi halafu unajaza kifua ili uende wapi?

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
2,823
Reaction score
3,816
Habari za wakati huu wadau wa Jamvi letu pendwa JF.

Eeeh bhana niko kwenye mtoko wa pekee yangu huku mkoani kwetu. Sasa hapa kuna ki pub kimoja hapa, sasa kafika jamaa mmoja hivi kajaza hicho kifua ila ni mfupi ndio. Nikawa najiuliza hivi watu wengine huwa hawajiukuzi kuwa. Nitaonekana vipi nikiwa kibaunsa kifupi fupi kama Gogo.

Yaani pamoja na huyu fala mfupi kama Gogo alfu kajaza kifua nimebahatika kupata mtoto siku ya leo imekaa kama weekend kudadeki na DJ alivyo mchokozi anapiga ngoma za maladavi basi mtoto jamani na ukijumlisha na Bia inavyokolea namuoba mrembo mpaka sijui aje yaani jamani.

…!
 
Classmate wangu wa primary 'Juma' alikuwa mfupi kama nyundo, halafu alikuwa anapiga chuma tangu primary.

Juzi kati nilikutana naye amekuwa mwanajeshi, aisee ni amejaza kifua hatari.. halafu anapiga mkono sio poa...

usikute ni yeye ameingia hapo pub halafu unaongea shit, atakunyonya mavi.. tahadhari nakupa
 
Huyo jamaa akivaa nguo nyekundu akiwa anatembea barabarani unaweza kudhani ni kibanda cha m-pesa kinatembea road.

Akiwa na matege akavaa suruali nyekundu unaweza ukadhani ni 'praizi'.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au kama yulr MR AIRTEL MONEY KAMA UNAMKUMBUKA
 
pole kwa upweke mkuu ila usikufanye ukawa na makasiriko hadi kwenye maisha ya watu wengine

Sio mpweke hata..! Yaani nikijaga pekee yangu basi nakuwa free kama gaseous molecules kwenye Brownians movements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…