Yaani we ni mfupi halafu unajaza kifua ili uende wapi?

Yaani we ni mfupi halafu unajaza kifua ili uende wapi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli wanachekeshaga basi tu. Bora wabakie na vitambi vyao angalau wanaonekana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli wanachekeshaga basi tu. Bora wabakie na vitambi vyao angalau wanaonekana.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni vile anapenda mwili wake ue. Ni sawa na wanaopenda vitambi, huwa nawashangaa sana lakini mwisho wa siku ni mapenzi ya mtu hajali nyie mnamuonaje.

Si ajabu kuna wanamsifia na kupata wa kimasihata kwa icho kifua chake unachokicheka.
 
Picha tafadhali

IMG_0748.jpg
 
Habari za wakati huu wadau wa Jamvi letu pendwa JF

Eeeh bhana niko kwenye mtoko wa pekee yangu huku

mkoani kwetu. Sasa hapa kuna ki pub kimoja hapa, sasa

kafika jamaa mmoja hivi kajaza hivho kifua ila ni mfupii ndio

nikawa najiuliza hivi watu wengine huwa hawajiukuzi kuwa

nitaonekana vipi nikiwa kibaunsa kifupi fupi kama Gogo

yaani. Ila pamoja na huyu fala mfupi kama Gogo alfu kajaza

kifua nimebahatika kupata mtoto kmmke siku ya leo imekaa

kama weekend kudadeki na DJ alivyo mchokozi anapoga

ngoma za maradavi basi mtoto jamani na ukijumlisha na Bia

inavyokolea namuoba mrembo mpaka sijui aje yaani jamani.

…!
Mkuu ili uwe mfupi unatakiwa uwe below how many cm ??

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Classmate wangu wa primary 'Juma' alikuwa mfupi kama nyundo, halafu alikuwa anapiga chuma tangu primary.

Juzi kati nilikutana naye amekuwa mwanajeshi, aisee ni amejaza kifua hatari.. halafu anapiga mkono sio poa...

usikute ni yeye ameingia hapo pub halafu unaongea shit, atakunyonya mavi.. tahadhari nakupa
Hahahaha mtu mfupi center of gravity ipo chini hivyo wako stable kinyama, ukimshinda za kurusha akaamua kukung'ang'ania huchomoki. Dawa ni kupiga mateke ya mbalimbali ili kasisogee karibu.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru Mungu sio mrefu wala sio mfupi .. ila nashangaa unatoa wapi muda wa kukaa kujudge muonekano wa mwanaume mwenzio ( Bila shaka kuna walakini hapa) ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app

Weka tu huo ualakini wako.! Ila hoja yangu ni kwamba Mtu ukiwa na kimo kifupi kuwa na kitambi au kuwa na umejazia sana unakuwa kama unazidibkwenda chini na hivyo kupelekea kukufanya kuwa mfupi kama kisiki tu. So wewe ynahisi. Kwahiyo kama unaleta habari zako kuweka ualakini sio mbaya
 
Hahahaha mtu mfupi center of gravity ipo chini hivyo wako stable kinyama, ukimshinda za kurusha akaamua kukung'ang'ania huchomoki. Dawa ni kupiga mateke ya mbalimbali ili kasisogee karibu.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie sina nguvu za kugombana hovyo tu, Kwahiyo kama ni yeye basi apite zake hivi
 
Ni vile anapenda mwili wake ue. Ni sawa na wanaopenda vitambi, huwa nawashangaa sana lakini mwisho wa siku ni mapenzi ya mtu hajali nyie mnamuonaje.

Si ajabu kuna wanamsifia na kupata wa kimasihata kwa icho kifua chake unachokicheka.

Nakubaliana na unachokisema .!
 
Watu warefu sana,wengi wao ni wazembe na huzeeka haraka na kupata magonjwa ya mifupa.
Urefu ni ubaguzi usio na maana kama weupe na weusi, havimuongezei mtu chochote.
Tumekuwa brain washed kuwa ufupi ni sifa mbaya.
Watu wafupi ni wacheshi na wanafuraha sana kuliko warefu.
Mimi ni ft sita kasoro ila sijawahi ona faida ya huu urefu, zaidi ya kupigwa mitumbani kuuziwa nguo bei kubwa kutokana ba mwonekano na kupata michepuko/mademu ambapo ni kitu hatari kwa afya yangu.
 
Back
Top Bottom