carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Ila nikiona mwanaume anatoa habari za kimbeya za mwanamke nasikitika habari zenyewe za uongo sasa mtu chanzo chake hakijulikani mara tena anakipato zaidi ya bil1.2 kuwa serious mkuu.....Mrembo mwenye mvuto wa hajaa aliyebarikiwa kuanzia unyayo mpaka ncha ya nywele ambaye hachoshi kumtazama ajulikanaye kama Anna Patrick Kimaro (Tunda Saba Sita au Cleopatra) hatimaye wazee wa kunyapia nyapia wamegundua kuwa mrembo huyo anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku lakini hana show off za kijinga kama yule aliyejinadi anavaa mawigi ya milioni sita wakati hata sehemu aliyopanga thamani ya kodi yake haizidi elfu 70 kwa mwezi .
Pia inasemekana kuwa ana utajiri usio pungua bilioni 1.2 ila hapendi kuanika utajiri wake wazi kwa sababu maalumu.
Hata hivyo bado haijagundulika haraka haraka chanzo cha mapato yake hayo kulinganisha na umri wake ni nini?
View attachment 635378
View attachment 635380
View attachment 635382Tunda akiwa Gym kuweka sawa umbile lake matata ambalo linawatoa udenda wakware wengi hapa mjini .
View attachment 635388Tunda akiendelea kula good life ,mwenyewe anakwambia stress hazina nafasi maishani mwake.
Ndio billionare huyoHanaga kwake ye kila siku hotelini,,Tunda hua anajiuza na kuna jamaa hua akimuhitaji anampa chake anakula mzigo,,,
Lakini cha ajabu umechangia.uzi ka huu si wakuchangia hasa ka umeletwa na dalali wa machangu
Tupia picha ya huyo demu unayemuona mkali kuliko Tunda tulinganishe hapaHuyu Tunda namuweka katikat ya visu kutoka Babati anafunikwa mbaaali kabsa.
Ni mzuri ila si wa kias icho ndugu, tembea ujionee Tz ina mengi yakupendeza achana na Insta.
Bila shakahivi huyu nae ni wa kuitwa Cleopatra kweli?
Acha unafiki weweIla nikiona mwanaume anatoa habari za kimbeya za mwanamke nasikitika habari zenyewe za uongo sasa mtu chanzo chake hakijulikani mara tena anakipato zaidi ya bil1.2 kuwa serious mkuu.....
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Huyu atakua kuadi wake si bure,hatumtaki kamnunue mwenywe.
sija comment juu ya kahaba wako nime comment kuhusu udalali wako wakujipatia riski zisizo na halali mbele za Mola.Lakini cha ajabu umechangia.
Wanafiki huwa hamjifichi
Hata mama yako pia nilimdalaliasija comment juu ya kahaba wako nime comment kuhusu udalali wako wakujipatia riski zisizo na halali mbele za Mola.
sa mama angu kakufanyaje tena..... kama ni laaana aisey imekukaa makalioni mtoto wa kiume si bureHata mama yako pia nilimdalalia
Mama yako huwa namdalalia watu wa kumfukua tope.sa mama angu kakufanyaje tena..... kama ni laaana aisey imekukaa makalioni mtoto wa kiume si bure
tena shukuru mnooo wanawake wasiokuwa na shughuli maalum kipindi hiki mbona kazi ni kupoteza rinda tu mpaka hurumaukimwi utaishaje kwa style hii ya kuliwa nyuma... namshukuru mzazi wangu kunipeleka shule kanisaidia kutotumia mwili kuishi
mjini hatuulizani shughuli cha muhimu july imepita na bado tupoAnafanya shughuli gani kwani?
Saba 6 hajawahi kua na hela ya kumpeleka mtoto ISM namjua istoshe alipata hela kwa ray kishumbua mwaka 2003Daah! Namkumbuka mara ya mwisho kumwona akiwa nadhani darasa la sita( alikua anasoma internationa schools moshi) but alikua anakuja arusha kwa bibi yake mzaa mama ambaye tupo jirani, juzi kati naambiwa tunda kawa maarufu ivi? Nikasema kweli kipindi kile nilichezea bahati na sitokuja kuipata tena maishani[emoji24] [emoji24]