carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Hance unamahaba na haka katoto maana...
Kweli biashara inalipa kwa siku anatumia zaidi ya laki 3 na nusu na utajiri huo wa bilion 1.2[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wajinga ndo waliwao na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama anautajiri huo