kibao cha mbuzi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 507
- 491
Utaelewa tu:! Namba tunazo zijua teyari tunazijua bado za kirumiSijakuelewa hata kidogo.
OkUtaelewa tu:! Namba tunazo zijua teyari tunazijua bado za kirumi
Mkuu mbona povu linakutoka?[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Ukimuuliza chanzo chake utasikia "mjini hapa nina madili yangu" kumbe anakitembeza kipochi manyoya kila mtu anakipekua, mwisho wake unajitafutia matatizo na magonjwa ya ajabu baadaye unawasumbua wazazi (hapa mtaani tunao mabinti wawili type kama Hizi wamechoka hoi wapo kwa wazazi wao). Basi hizo ela mnazozipata kwa kuuza papuchi, mfanye vya maana.
Hance bado tu Tunda anakongaga moyo wako,How?
Tunda hachuji mkuu.Hance bado tu Tunda anakongaga moyo wako,
Au wewe ni msukuma kwenu hakuna weupe?
Hujapata tu bahati ya kukutana na wazuri weeengi zaidi yake....that's why.Tunda hachuji mkuu.
Kila siku uzuri wake unaongezeka mara dufu.
Kwa kweli sijaona msichana anayemfikia Tunda kwa uzuri mpaka sasa.
mambo ya Dr. Shika hayo banaHee bill 1.2,mh na nyumba hana,office hana,gari hana eh
Maana kwa bajaji huyu balaa na meet nae mwenye Daily
Ushazoea kuona wamasai Kaa kimyaTunda hachuji mkuu.
Kila siku uzuri wake unaongezeka mara dufu.
Kwa kweli sijaona msichana anayemfikia Tunda kwa uzuri mpaka sasa.
umeona eh! na ina maanisha kwa mwezi ana tengeneza kama 30 m tuki assume anatumia one third ya mapato yakePunguzeni uongo,
unaijua laki tatu ya usawa wa anko Magu?
Ina maana kwa mwezi anatumia milioni
kumi na laki tano....hizi story kawadanganye
mabek tatu .....ndio staili zao hizi
Tunda hachuji mkuu.
Kila siku uzuri wake unaongezeka mara dufu.
Kwa kweli sijaona msichana anayemfikia Tunda kwa uzuri mpaka sasa.