Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
Ha ha ha haHance wa tunda....
Hance hivi tunda ana kibendi? mbona kitumbo hivo?
Hamna bhana hana kibendi ,amenenepa tu kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haHance wa tunda....
Hance hivi tunda ana kibendi? mbona kitumbo hivo?
So?Kuweka hizo picha pekee ni show off
Mbona unajitutumua sana ujulikane kama wewe ni meMada kama hizi kuletwa na mwanaume hapa unaonesha jinsi gani hii nchi ina matatizo makubwa. Kwa wanaume wa aina hii kweli mzazi atajisifu ana mtoto wa kiume? Ee Mungu niepushie aibu hii katika uzao wangu
Maisha magumu kwako tu mkuuPunguzeni uongo,
unaijua laki tatu ya usawa wa anko Magu?
Ina maana kwa mwezi anatumia milioni
kumi na laki tano....hizi story kawadanganye
mabek tatu .....ndio staili zao hizi
Una muonaje mkuu?Cleopatra? Aisee kweli kizuri kipo machoni mwa mtu!
Chunga kauli mkuu.Usije ukakimbia familia sababu ya kahaba mzee
Hata wewe pia utakufa.Kifo chaja pia
Katengeneza kitambi, mkionana umwambie apunguze kulaHa ha ha ha
Hamna bhana hana kibendi ,amenenepa tu kidogo.
Anasukumwa mbolea ?[emoji3][emoji3][emoji3] Jf shikamon kwa misemo kuntu fara hawezi elewa kituwanamchafua tu hakuna ukweli wowote kuhusu suala hilo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tunda hachuji mkuu.
Kila siku uzuri wake unaongezeka mara dufu.
Kwa kweli sijaona msichana anayemfikia Tunda kwa uzuri mpaka sasa.
Vi-wonder mkuu. Hivi inakuaje kidume kufikiria hivi. Hawa wapo wengi tu mkikubaliana bei unamalizana naoMada kama hizi kuletwa na mwanaume hapa unaonesha jinsi gani hii nchi ina matatizo makubwa. Kwa wanaume wa aina hii kweli mzazi atajisifu ana mtoto wa kiume? Ee Mungu niepushie aibu hii katika uzao wangu
Chunga kauli mkuu.
Usipende kumchafua mtu bila ushahidi .
Nikikwambia unioneshe ukahaba wake utanionesha?
ya kina gigy papa, picha instagram yupo hotel nyumba anayokaa sasa ha ha ha ha ncheke mieTatizo la kujua watu kwenye mitandao. Hizo laki 3 anazitumia kufanyia nini? Maisha ya instagram yanawafool sana.
Sasa ndo watu kama hawa wakiona lifestyle ya Gigy wanamsifia hatari ila ile video iliwafungua akili hawa wapenda kik wetu maisha yao halisi yakoje. Hamna kati ya hao watoto mwenye maisha descent. Jiulize Tunda hasomi hafanyi kazi anaishije mjini.ya kina gigy papa, picha instagram yupo hotel nyumba anayokaa sasa ha ha ha ha ncheke mie