Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

Mrembo mwenye mvuto wa hajaa aliyebarikiwa kuanzia unyayo mpaka ncha ya nywele ambaye hachoshi kumtazama ajulikanaye kama Anna Patrick Kimaro (Tunda Saba Sita au Cleopatra) hatimaye wazee wa kunyapia nyapia wamegundua kuwa mrembo huyo anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku lakini hana show off za kijinga kama yule aliyejinadi anavaa mawigi ya milioni sita wakati hata sehemu aliyopanga thamani ya kodi yake haizidi elfu 70 kwa mwezi .

Pia inasemekana kuwa ana utajiri usio pungua bilioni 1.2 ila hapendi kuanika utajiri wake wazi kwa sababu maalumu.

Hata hivyo bado haijagundulika haraka haraka chanzo cha mapato yake hayo kulinganisha na umri wake ni nini?

View attachment 635378

View attachment 635380

View attachment 635382Tunda akiwa Gym kuweka sawa umbile lake matata ambalo linawatoa udenda wakware wengi hapa mjini .

View attachment 635388Tunda akiendelea kula good life ,mwenyewe anakwambia stress hazina nafasi maishani mwake.
Kumbe huko chini ni kamradi fulani hivi Amazing....350000*30*12=126,000,000/= Wenye Madegree kazi wanayooo
 
Mrembo mwenye mvuto wa hajaa aliyebarikiwa kuanzia unyayo mpaka ncha ya nywele ambaye hachoshi kumtazama ajulikanaye kama Anna Patrick Kimaro (Tunda Saba Sita au Cleopatra) hatimaye wazee wa kunyapia nyapia wamegundua kuwa mrembo huyo anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku lakini hana show off za kijinga kama yule aliyejinadi anavaa mawigi ya milioni sita wakati hata sehemu aliyopanga thamani ya kodi yake haizidi elfu 70 kwa mwezi .

Pia inasemekana kuwa ana utajiri usio pungua bilioni 1.2 ila hapendi kuanika utajiri wake wazi kwa sababu maalumu.

Hata hivyo bado haijagundulika haraka haraka chanzo cha mapato yake hayo kulinganisha na umri wake ni nini?

View attachment 635378

View attachment 635380

View attachment 635382Tunda akiwa Gym kuweka sawa umbile lake matata ambalo linawatoa udenda wakware wengi hapa mjini .

View attachment 635388Tunda akiendelea kula good life ,mwenyewe anakwambia stress hazina nafasi maishani mwake.
hizo takwimu za uchumi ulizisomea insta na wapita njia.ujiongezi tu karai mwenzangu,we kauze nyumba yako alafu tukupeleke kwa hao au huyo uliye mpost hakukate msingi mpaka unakuja kushituka yeye instagram kaosha show off za kufa mtu
 
Alafu kuna wapuuzi wanajipa moyo et wanawake wote ni sawa!? Mwanamke kama huyu kama unamtia huku umewashataa au mchana na unamuangalia unaweza kukojoa hadi white blood cell.
 
Back
Top Bottom