Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

u
Mrembo mwenye mvuto wa hajaa aliyebarikiwa kuanzia unyayo mpaka ncha ya nywele ambaye hachoshi kumtazama ajulikanaye kama Anna Patrick Kimaro (Tunda Saba Sita au Cleopatra) hatimaye wazee wa kunyapia nyapia wamegundua kuwa mrembo huyo anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku lakini hana show off za kijinga kama yule aliyejinadi anavaa mawigi ya milioni sita wakati hata sehemu aliyopanga thamani ya kodi yake haizidi elfu 70 kwa mwezi .

Pia inasemekana kuwa ana utajiri usio pungua bilioni 1.2 ila hapendi kuanika utajiri wake wazi kwa sababu maalumu.

Hata hivyo bado haijagundulika haraka haraka chanzo cha mapato yake hayo kulinganisha na umri wake ni nini?

View attachment 635378

View attachment 635380

View attachment 635382Tunda akiwa Gym kuweka sawa umbile lake matata ambalo linawatoa udenda wakware wengi hapa mjini .

View attachment 635388Tunda akiendelea kula good life ,mwenyewe anakwambia stress hazina nafasi maishani mwake.
zuri gani ahpo mbna sijauona
 
d6ecf8c858af84f4232184447a8b3be3.jpg
😱😱😱😱😱😱
 
Angekuwa na chura kidogooo ningekuwa interested lkn lwa flat screen hio huyo sio type yangu..

Sura hata nyati anayo tatizo chura ipo??
 
Anakutana na viba 100 ndo maana anauza sura, siku akikutana na vipajj maalum mbembwe zote zitaisha
 
Back
Top Bottom