Yabainika Wakenya ndio waathirika wakubwa katika mgogoro wa Loliondo, viongozi wa Kenya walalamika

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
MY TAKE: Tukiwaambia mkijaribu kutia pua zenu huku Tanzania lazima tutawafundisha adabu na hamna kitu mtafanya, hakuna International community Wala nchi yoyote itakayowasaidia.

Msithubutu kuwagusa watanzania waliopo huko Kenya, tutazuia chakula ili muendelee kufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
dyfre
Don YF
IamLee
NairobiWalker
Nicxie

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Serikali iko very serious na operesheni ya kuondoa masai hifadhii japo viongozi wanaongea kwa lugha laini kama wanawabwmbeleza.

Hao wakenya acha waendelee kubweka wasipoondoa ndugu zao kwa hiyari wanatengeneza kizazi cha masai wenye ulemavu
 
Nimeiona hii, sijui wanamaslahi gani
 
View attachment 2258051
Nimeiona hii, sijui wanamaslahi gani
Ngoja nikueleweshe kidogo masai ni kabila lilopo upande zote mbili kenya na Tanzania na hili kabila linaheshimu sana tamaduni zao na pia hawana mipaka masai wa kenya na watanzania wote ni wamoja nawamawasiliano ya karibu sana na wanajaliana sana hii itakupa mwanga kidogo kuwajua na jambo lolote liwatokee masai wakenya na waliopo Tanzania linawahusu.
 
Hawana mipaka? ndo unadanganya masai wa Kenya hivyo sio? Hebu ambia waje Tanzania halafu tuone!
 
Ngoja nikueleweshe kidogo masai ni kabila lilopo upande zote mbili kenya na Tanzania na hili kabila linaheshimu sana tamaduni zao na pia hawana mipaka masai wa kenya na watanzania wote ni wamoja nawamawasiliano ya karibu sana na wanajaliana sana hii itakupa mwanga kidogo kuwajua na jambo lolote liwatokee masai wakenya na waliopo Tanzania linawahusu.

Hizo zama zilishaisha, ukiangalia nchi yetu kwa nchi zote tunaopakana nao kuna makabila yanayofanana pande zote mbili. Mfano kuna Wayao wa Tanzania na Wayao wa Msumbiji Wangonde wa Tanzania wengine Malawi, Wamambwe wa Tanzania na wa Zambia n.k. Lkn kwa makabila yote hayo yanatii sheria za nchi. Sasa wenyewe ni nani mpaka wasifuate sheria halali za nchi.
 
hii haiwezekani kwa masai naona bro huwajui masai unafananisha na walizi wakwavi wanaokula samaki siyo masai labda uwauwe
 
Leo nimeona Al Jazeera asubuhi wametangaza hii habari
 
Jana nilisema,hawa Masai mostly ni wakenya,tena wengi wanatoka Oloitoktok na Narok. Wanafuga ng'ombe pale kwenye hifadhi,wakinnenepa,wanawavusha kwenda kenya.
Nyinyi bongolala ndio mnafaa kutoka Kwa arthi ya Wamaasai mrudi Zanzibar na hao waarabu wenu
 
Serikali iko very serious na operesheni ya kuondoa masai hifadhii japo viongozi wanaongea kwa lugha laini kama wanawabwmbeleza.

Hao wakenya acha waendelee kubweka wasipoondoa ndugu zao kwa hiyari wanatengeneza kizazi cha masai wenye ulemavu
Nyinyi Watumwa wa Waarabu ndio mnafaa kurudishwa Zanzibar na hao waarabu wenu mtoke Kwa ardhi ya Wamaasai.
 
Back
Top Bottom