Yabainika Wakenya ndio waathirika wakubwa katika mgogoro wa Loliondo, viongozi wa Kenya walalamika

Yabainika Wakenya ndio waathirika wakubwa katika mgogoro wa Loliondo, viongozi wa Kenya walalamika

Hio Serekali yenu ya Waarabu ya Zanzibar inacheza na Maasai tutaikanyaga ikosekane.
Umeona picha jinsi walivyopigwa risasi?, na bado mkiendelea kuleta wamasai toka Kenya, tutawachapa risasi, hatutaki mchezo sisi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikueleweshe kidogo masai ni kabila lilopo upande zote mbili kenya na Tanzania na hili kabila linaheshimu sana tamaduni zao na pia hawana mipaka masai wa kenya na watanzania wote ni wamoja nawamawasiliano ya karibu sana na wanajaliana sana hii itakupa mwanga kidogo kuwajua na jambo lolote liwatokee masai wakenya na waliopo Tanzania linawahusu.
Hata wajaluo wapo Kenya na Tanzania , nyie majirani tulieni haya ni mambo yetu wenyewe wa Tanzania
 
1655104761031.png
 
MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA.

Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha kupelekea Askari mmoja kufariki kwa kupigwa na mshale,

Mapya yamezidi kuibuka baada ya kuonekana kwa picha za baadhi ya wanaodaiwa kuwa ni majeruhi wakiwa hospitali nchini Kenya.

Katika hali isiyoelezeka ni kwa namna gani majeruhi hao wameweza kuvuka mpaka na kuingia kenya kutibiwa?.

Kama hakukuwa na mpango maalum iliwezekanaje watu hawa kusafirishwa kwa siri na kupelekwa hospital nchini humo?.

Je hospital za huko zinawasajili kama Watanzania ama wakenya?... Kama zinawasajili kama watanzania je wamepata rufaa kutoka Tanzania?.

Taarifa za uhakika ambazo chombo chetu inazi zinasema kuwa kuna mkakati wa makusudi wa majirani zetu kufanya kila jitihada kudhoofisha utalii wa Tanzania hasa wakilenga kanda ya kaskazini

Taarifa zaidi zinasema hii inachagizwa zaidi na hofu ya kupoteza kwao ushawishi kunakotokana na umashughuli unaoongezeka siku hadi siku hasa baada ya kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour.
 
Mmewakamata wangapi mkawapata na vitambulisho vya kudhibitisha kwamba ni wakenya? Maanake nchini Kenya kila raia huwa ana ID yake, ambayo huwa anakabidhiwa akifika miaka 18. Vitambulisho hivyo huwa vinaendana na vyeti vya kuzaliwa, vitambulisho vya wazazi na stakabadhi zingine muhimu za kudhibitisha kwamba ni wakenya.

Kama nyie bado mnatumia sijui alama ya ndui, kuwatambua raia wenu halali msituletee 'makasiriko' yenu.
Sijui kwanini mnaona sifa kujikanganya kanganya kila siku. Mara sijui hali ipo sawa Loliondo na hakuna aliyejeruhiwa. Mara tena kuna waliojeruhiwa, ila ni wakenya kisa wanapata matibabu nchini Kenya, bure kabisa. Acheni kujistukia stukia endeleeni tu na hivi vibwanga vyenu vya Bunge Comedy. Kwa raha zenu! 😀
mwananchi_official-p-cd5xzymnmnc-1-jpg.2235452
 
Mmewakamata wangapi mkawapata na vitambulisho vya kudhibitisha kwamba ni wakenya? Maanake nchini Kenya kila raia huwa ana ID yake, ambayo huwa anakabidhiwa akifika miaka 18. Vitambulisho hivyo huwa vinaendana na vyeti vya kuzaliwa, vitambulisho vya wazazi na stakabadhi zingine muhimu za kudhibitisha kwamba ni wakenya.

Kama nyie bado mnatumia sijui alama ya ndui, kuwatambua raia wenu halali msituletee 'makasiriko' yenu.
Sijui kwanini mnaona sifa kujikanganya kanganya kila siku. Mara sijui hali ipo sawa Loliondo na hakuna aliyejeruhiwa. Mara tena kuna waliojeruhiwa, ila ni wakenya kisa wanapata matibabu nchini Kenya, bure kabisa. Acheni kujistukia stukia endeleeni tu na hivi vibwanga vyenu vya Bunge Comedy. Kwa raha zenu! [emoji3]
mwananchi_official-p-cd5xzymnmnc-1-jpg.2235452
Soma mkenya mwenzako alivyowaumbua, ninyi ni wivu na roho mbaya ndio vinawasumbua

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikueleweshe kidogo masai ni kabila lilopo upande zote mbili kenya na Tanzania na hili kabila linaheshimu sana tamaduni zao na pia hawana mipaka masai wa kenya na watanzania wote ni wamoja nawamawasiliano ya karibu sana na wanajaliana sana hii itakupa mwanga kidogo kuwajua na jambo lolote liwatokee masai wakenya na waliopo Tanzania linawahusu.
Sawa, lakini lazima waheshimu mipaka. Tanzania sio Kenya, na Kenya sio Tanzania.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Back
Top Bottom