Tetesi: Yadaiwa Abdul and Company, amepewa eneo la mnada wa Karatu ajenge Hoteli ya kitalii, Mnada unahamishwa

Tetesi: Yadaiwa Abdul and Company, amepewa eneo la mnada wa Karatu ajenge Hoteli ya kitalii, Mnada unahamishwa

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Umofia kwenu wakuu. Kuna taarifa za kutoka Chanzo cha kuamimika kwamba Halimashauri ya wilaya ya Karatu imempatia mtoto wa Samia, Abdulu eneo la mnada wa Karatu ili ajenge Hoteli.

Kwa mlio wahi fika karatu mtakuwa mnajua lile eneo la mnada ni maarufu sana, sasa ni kwamba mtoto pendwa kapewa na mnada unahama rasimi pale na Mkuu wa Mkoa Amosi Makala ndio anaye simamia show nzima kuhakikisha mtoto anapewa eneo.

Kupewa sio shida, je utaratibu umefuatwa? ndicho watu wanauliza na kutaja kujua, Je kuna tenda ilitangazwa kwamba eneo linauzwa na watu wakatuma maombi na yeye kashinda tenda?

Au ni muendelezo wa Uporaji wa Mali za Umma kwa kigezo cha mtoto wa Bosi mkuu wa nchi?
 
Watanzagiza endeleeni kulinda amani ili watawala wazidi kujilimbikizia mali za umma
 
Nchi ikiongozwa na wahuni na majambazi, hata uhai wetu unakua wa kwao
 
Republic of Gangster, then Vikama wanangoja wazee ndio wawapiganie. Wakina Waryoba walisha maliza kila kitu,

Sasa nyie kaeni mkingoja sijui Butiku au Warioba wawatetee,
 
Back
Top Bottom