Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Hapa kwenye hili suala la Corona sijui zitafanyika siasa za kishamba kama za chakubanga au wataamua kuwa wakweli? ama kwa hakika awamu ya tano tumepatikana ila laana hii yote itabewa na wewe Jk ulitufanya vibaya sana 2015.

kama kweli umeingia DSM tujitayarishe kuputika labda kuna watu watafurahia ili hata kampeni na uchaguzi usifanyike kabisa maana ni kama viel they dont give a damn about it.

Screen Shot 2020-03-12 at 11.33.08 PM.png

=======
UPDATE:

CC6EB3C6-DC58-4E49-9504-94F17400F7D7.jpeg
 
kyemo, Yule naibu waziri wa uchukuzi juzi amesema hawawezi kuzuia watu kuingia nchini kwasababu ya urafiki wa muda mrefu kati ya nchi yetu na nchi yao.

Sasa ngoja tuonae kama kweli hii Corona imeingia kama huo urafiki utaonekana maana wenzetu Italy ambao ni kati ya nchi zenye huduma bora za afya Ulaya mpaka sasa wamekuwa overwhelmed na Covid-19 kiasi kwamba nchi nzima kila kitu kimesimama.
 
Corona IPO Dar muda sanaa

Mimi mwili wangu uko very sensitive na vitu ambavyo si vya kawaida

Na kila nikienda mjini ni lazima mafua na mfumo wa upumuaji uwe na shida, sometimes I feel little bit dizzy

Nikirudi home nikikaa siku mbili tatu bila kwenda nakuwa stable

Now nimeji self quarantine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule naibu waziri wa uchukuzi juzi amesema hawawezi kuzuia watu kuingia nchini kwasababu ya urafiki wa muda mrefu kati ya nchi yetu na nchi yao.

Sasa ngoja tuonae kama kweli hii Corona imeingia kama huo urafiki utaonekana maana wenzetu Italy ambao ni kati ya nchi zenye huduma bora za afya Ulaya mpaka sasa wamekuwa overwhelmed na Covid-19 kiasi kwamba nchi nzima kila kitu kimesimama.
Kumbe hadi kwenye vifo kuna urafiki, hiyo Corona ikija naomba ianze na wao
 
Huuu ugonjwa upo sana tanzania tunajidai sababu kiujumla healthy system yetu ni mbovu hatupimwi ila watu wanavyo sana wengine mpaka hali ianze kuoneka ni 14 to 24 unawwza ukaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom