Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

Tusifurah na kujisifu hatuupati wenzetu wanapopata ugonjwa huu bali tuwaombee na tuliombee taifa kwakuwa sote tu binadam wenye damu na nyama kama wao..
 
Hio Kirusi kikingia kwenye damu ya muafrika tu kinakufa chenyewe Haraka sana. Yani kusema kwamba eti corona haipo humu ni uongo ila tu ni kama Flu hakiwezi fanya chochote ndani ya damu yetu we are stronger.
 
Nchi nyingi sana zinaficha takwimu sahihi kuhusu Corona. Ingawa tunapaswa kuwaweka wananchi katika tahadhari ya hali ya juu, sisi tunapiga siasa tu kwa imani kwamba Corona ni ugonjwa wa weupe. Hizi tabia ndio zinatufanya tupukutishwe na magonjwa mengi kama UKIMWI. KUTOJALI.
 
Ukiambiwa Hatuna Undugu na hawa watu weupe uwe unaelewa. Mtu mweusi kufa kwa mafua ni aibu Kubwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump amefunga mipaka ila sisi tunajifanya ni Taifa lililoendelea kuliko Marekani!
 
Corona ipo Tz tena Dar ipo kabisa hata wafiche vipi virus vishaingia,
Kikubwa waungwana tujiepushe na kukaa kwenye mikusanyiko ya watu wengi kama sio lazima, tunawe mikono kila mara hata tukiwa majumban, lakini muhimu zaidi ni kupandisha kinga zetu za mwili, meza vidonge vya vitamin C kila siku,
Mola awe nasi.
 
Wewe ndo unaraana pamoja na wazazi wako ,unashindwa kuleta hoja za Covd 19 unaleta upuuzi wa kumlalamikia jk na ,Hugo unayemlalamikia ndo kaleta kolona duniani? Fala sana wewe mtoa maada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar kuna mabinti wawili wafanyakazi wa hotel moja kule Nungwi ni wagonjwa kabisa lakini tuendelee tu kukaa kimya.
 
Mambo ya kubebesha watu laana unatoa wp?
jikite kwenye kuzungumzia ugonjwa...
 
You're sick and you need to see a doctor inaweza ikawa hata una pumu na huna uwezo wa kukaa sehemu yenye watu wengi au kupanda gari lilojaa sana au gari dogo maana utakosa pumzi.

In Minneapolis we're told the Virus get transmitted by touching your eyes, nose and mouth. Wash your hands a good long time and keep the out of your face, is the best you can do.

I don't know what's your banana government telling you
 
Daah kwa hiyo nikila matunda yenye vitamini c itasaidia kidogo mkuu,?

Sema wengine tunatafutia riziki zenu kwenye masoko Kama kariakoo cjui itakuwaje aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kitu bado ni tetesi ila ulivowaka utasema una ugomvi binafsi na watu.. Hivi kwa hizi pressure si ikibainika kweli upo kuna mtakao kufa kabla hata hamjaambukizwa ugonjwa wenyewe.. Nyie liombeni tu hili janga iko siku dua zenu zitasikika
 
Upo kama mimi boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…