Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

Yah sure watz tuna ujuaji unaotia kinyaa
 
Watu wengine wa ajabu kama inasemekana hakuna ni hakuna. Mbona kama mnataka kulazimisha iwepo. Je imethibitishwa kuwa ipo?

Au hili nalo linataka kutumiwa mtaji kisiasa?
 
-
Kama habari hiyo haijathibitishwa na MOH, basi siyo kweli.
Mtu mwenye symptom kuwekwa kwenye isolation haimaanishi kama mtu huyo ana corona vid-19. Ni baada ya siku 14 tu ndipo inapoweza kuthibitishwa kama ni corona au la na hapo ndipo inapoweza kutangazwa rasmi.
 
Italy ni corrupt country kama nchi nyingine zote Afrika. Haya ndiyo mambo ya kuyaangalia kwa macho mawili.

Kwa vile sisi waafrika tumizoea kumwona mzungu ni kama mungu hivyo tumelelewa katika misingi ya kuamini kila kitu anacho sema mzungu ni cha kweli. Waitaly wametuaminisha sisi kuwaona wao wameendelea sana, lakini ukweli wa mambo sio kweli. Hiyo imebaki kuwa ni historia tu. Waitaly wamesha kufa zamani sana. Wamebaki mazpmbie. Hawana ile spirit ya innovation. Wanaishi kwa biashara ya utalii tu.

Nchi za Ulaya ambazo naweza sema kidogo ziko innovative ni Ujerumani na Sweeden tu. Norway ni kwa sababu wana mafuta na gas asilia nyingi na wako milioni tano tu. Nchi zote nyingine zilizobaki za Ulaya hazina kitu chochote ndiyo maana matatizo kidogo yakitokea nchi zote zinayumba kama hivi sasa Italy.

Sasa mnajionea wenyewe uongo ambao miaka yote hawa wazungu wamekuwa wakituzuga sisi. Eti Italy ni nchi ambayo ina vifaa vizuri vya matibabu kuliko sisi, hawana lolote ni wazembe na wavivu kama sisi tu. Unaweza ukawa na vifaa vizuri, lakini kama hujui jinsi ya kuitumia hivyo vifaa hatuta saidia kitu.

Italy kuna matapeli kibao kama Tanzania tu. Kama nchi zote zilizo endelea wanawanyonya sana wananchi wao kwa kuwanuifaisha wachache wenye pesa na watawala.

Tumeshuhudia mitetemeko midogo jinsi majengo yao yanavyo athirika. Daraja linakatika vipande viwili kama Afrika. Wajenzi wa aina gani hao wanaojenga madaraja yasiyo ya kiwango? Ni wezi tu hao kama sisi.

Nafikiri mnajionea wenyewe jinsi gani mambo yanavyo anza taratibu kujitokeza sasa kuwa huo wote ulikuwa ni uongo ambao wametujaza sasa kuwa waitalia wamekuwa na better health care. Ukweli unaonyesha kuwa nao walikuwa wana udanganya umma wao na ulimwengu kwa ujumla kuwa wako sawa na mataifa mengine yaliyo endelea katika healthy care system. Ni uongo mtupu. Hawana kitu. Italy ni masikini tu kama sisi. Tena afadhali hata sisi tuna rasilimali nyingi ambazo tunaweza kuzitumia ku boost uchumi wetu.

Sisi hata kama wazungu wanatuona ni machakali, lakini hata hivyo sisi watu wenye ngozi nyeusi ni watu bora sana kiafya. Mungu anawaonyesha wao kuwa hata kama wanatuona sisi ni watu wachafu na tumejawa na maradhi, kwa mara ya tatu wanaumbuka.

Kama tunavyo ona kwenye world map masokwe hatukuathirika weather na Sars mwaka 2003/2004 wala Corvid-19 mwaka huu. Mungu atatujalia tu.

Watake wasitake iko siku mwafrika ata dominate ulimwengu tu. Wasituokoe huko kwenye Bahari ya Mediterranean au watuletee magonjwa yao ya kutengenezwa kwenye maabara kama Ebola, sisi tutapiga tu. Mungu alikwisha yasoma manyani haya kuwa yatatunyanyasa kwa rangi zao. Naye atawapiga tu kwa maradhi kama haya.

Kama Mungu alituumba sisi basi atajua jinsi gani ya kutuokoa sisi kutoka kwenye manyanyaso haya tunyaonyapata kutoka kwa Mutant human being kama hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • SmartSelect_20200312-185704_Telekom%20Mail.jpeg
    33.2 KB · Views: 1
  • SmartSelect_20200312-185603_Telekom%20Mail.jpeg
    26.2 KB · Views: 1
Waebrania 10:38 Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye.
39 Lakini sisi hatumo miongoni mwao wasitao na kupotea, bali tumo miongoni mwa hao walio na imani ya kutuokoa roho zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema tu saiv nimeacha panga langu. Ningemchabanga huyu naibu ili akajifunze uzalendo.

Huwezi kuacha kuchukua tahadhali kisa eti urafiki. Hao marafiki zake wa muda mrefu akakae nao kwake.

Hili jambo wasilichukulie poa kabisa, England, Italy, Germany, France kote huko ni kilio. Spain wamezuia ndege kutua, na wameban mikusanyiko. Kama ni rafiki zake aende yeye akakae nao huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa kujisample wewe mwenyewe pekee kwa inji yenye mamilioni ya watu ushaconclude ama kweli elimu elimu elimu
 
binafsi toka nitoke kwenye mkusanyiko pale Waswanu kutazama mechi ya simba na yanga juzi najihisi tofauti sana,
mafua mazito hayajawahi kunipata haya, mwili kama homa flani hivi, wakti fulani kichwa kuuma.
Na huu utaratibu wa"Watu wa Dar" kuhamia huku Dodoma nahisi wameshatuletea Covid 19.

Nawasikitikia wanangu na mama yao, ningejistukia mapema ningeshaji quarantine mwenyewe nikae bafuni mpaka nikufe
 
wewe unameza vingapi kwa siku kwa mtindo upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…