Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

😀😀😀😀😀...eti nimeji-self quarantine....aiseee wabongo ni shida.......
 
Usisahau wachina wenyewe walimpuuza dr alieanza kutoa tahadhari ya uwepo wa corona na wakamuweka kizuizini kwa muda kwa kutisha wananchi, mwishowe sasa hivi wanaona aibu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uogonjwa kwann watu weusi hawafiii wakiupataa [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Huu itakuwa waliutengeneza kumuweka sawa..mtu asia ya arabuni huko....na ameanza kuisoma namba....kaomba mkopo..apigane na Corona!
Yetu sie ukimwi..cancer na ebola..tupo tunahangaika nayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok subiri mungu hapendi umdhihaki unasema damu ya mwafrica ipo strong.mtakufa mpaka utasema mbona sisi tu watu weupe hawakufa hivi
Hio Kirusi kikingia kwenye damu ya muafrika tu kinakufa chenyewe Haraka sana. Yani kusema kwamba eti corona haipo humu ni uongo ila tu ni kama Flu hakiwezi fanya chochote ndani ya damu yetu we are stronger.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tabia ya kuzushazusha hii serikali inabidi iifanyie kazi...ni tabia ya kiseng sana..!
 
Huu ndio uchawi wenyewe sasa, yaani watu mnahaaaamu ya kuona huu ugonjwa ukiingia bongo, ngozi nyeusi inausugu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…