Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwani lazima mambo yaende ndivyo sivyo? Kwani mtu hawezi kukopa poa, akali[pa, au akatoa mkopo akijua hapa silipwi, na asilipwe, na akaona alilojua limetimia, akaona poa, maisha yakaendelea tu?KUKOPA ama KUKOPESHA huleta stress, hasa mambo yakienda ndivyo sivyo.
Hizo habari za mtu asiyekopa au kukopesha kusifiwa ni mambo ya dunia iliyopitwa na wakati sana.
Watu wote wanaoelewa uchumi wa dunia ya leo wanakopa na kukopesha.
Acheni ujinga wa kutukuza ujima.