Kwani lazima mambo yaende ndivyo sivyo? Kwani mtu hawezi kukopa poa, akali[pa, au akatoa mkopo akijua hapa silipwi, na asilipwe, na akaona alilojua limetimia, akaona poa, maisha yakaendelea tu?
Hizo habari za mtu asiyekopa au kukopesha kusifiwa ni mambo ya dunia iliyopitwa na wakati sana.
Watu wote wanaoelewa uchumi wa dunia ya leo wanakopa na kukopesha.