Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huko kweli ni duniani, ingekuwa bongo waliopendekeza Rais apimwe usalama wa akili wangeozea magereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Rais wetu akipimwa itapendeza sana
wazungu ni wanafiki sana; kwani si ndio wao wenyewe waliompigia kura na kumweka madarakani??
We stroke hujitambui, unafikiri wenzetu wakifanya jambo zuri basi likitokea baya wanaacha, no wenzetu fikra zao ni za utambuzi sio kama za huku Africa esp.Tz wengi akili vumbi kama zakowazungu ni wanafiki sana; kwani si ndio wao wenyewe waliompigia kura na kumweka madarakani??
Kama waandishi wa habari wanapotea tu sijui kwa kweli mwandishi wa kitabu kinachomzungumzia Rais katika negative side angekuwa wapiHiii ni sahihi sana.
Ingekuwa ni hapa kwetu hicho kitabu kingepigwa marufuku na mwandishi wa kitabu hicho sijui angekuwa wapi leo hii.
Kwani wakati anaomba kura alikua amejificha uvunguni mwa kitanda?? au ilikua majukwaani ambapo ilikua ndio nafasi Yao kumpima kabla ya kufanya maamuzi?? wanaotakiwa kupimwa akili ni hao waliomchagua.Mkuu kwani sisi hapa kwetu alijipigia kura mwenyewe au tulipiga sisi na tunaolalamika ni sisi?