Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Hivi huwa najiuliza kama hivi vyakula vina madhara kwa nini mungu alitupa? Nyama majanga , mchele matunda mengine nayo majanga sasa tule nini.
MKuu, mwanzoni Mungu alipoumba nyama haikuwa sehemu ya chakula cha binadamu. Baadaye akaruhusu, lakini akakataza nyama kama kiti moto nk, na baadaye kabisa akaamua kila nyama ruksa!
Ila nimesoma sehemu wali unaleta kitambi, labda kweli, - naona Wanyakyusa wengi wanavyo!