Yadhihirika: Nyama choma inasababisha kansa

Hivi huwa najiuliza kama hivi vyakula vina madhara kwa nini mungu alitupa? Nyama majanga , mchele matunda mengine nayo majanga sasa tule nini.

MKuu, mwanzoni Mungu alipoumba nyama haikuwa sehemu ya chakula cha binadamu. Baadaye akaruhusu, lakini akakataza nyama kama kiti moto nk, na baadaye kabisa akaamua kila nyama ruksa!

Ila nimesoma sehemu wali unaleta kitambi, labda kweli, - naona Wanyakyusa wengi wanavyo!
 
mababu zetu zamani waliishi kwa miziz na uwindaji
hzo nyama zilikuwa zinachomwa na walikuwa wanaishi miaka mingi tu
 

Mimi naona kila chakula ni hatari hizi research nyingine bwana, sasa wameacha gout wemekuja kwenye cancer. ukila samaki sana gout, ukila nyama, gout na cancer sasa, chinese gout, utaacha kula nini? Wacha tule tu tukifa ni wakati kwani nani hatakufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…