BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Pale pana cctv camera kila kona,nimenunua gari pale zaidi ya mara mbili,sijawahi kutana na hizo changamoto.. mara ya mwisho nimenunua mwezi uliopita mwanzoni gari dogo tu kwa ajili ya wife.Ile security iliyoko pale Jan sidhani kama wanaweza kufanya hivyo...
Hao wanaouziwa parts pengine wanadanganywa kuwa zinatoja Jan kumbe siyo..
Pale Jan ukitaka kuchukua gari na limekuja na hiyo changamoto wanakuambia kabisa..
Tulicho badilisha ni tires pekee na engine oils,maana gari ilikuwa inaletwa dodoma.