Yafahamu magonjwa 23 yanayotibiwa kwa matumizi ya asali

Yafahamu magonjwa 23 yanayotibiwa kwa matumizi ya asali

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
ASALI AURELIA.jpg
ASALI.jpg

MARAFIK ZANGU HAMJAMBO?

Haya Tena kwa wale wanaotaka Asali safi ya nyuki isiyo chakachuliwa Lita moja ni shilingi 15.000 wawasiliane kwa namba ya simu hii hapa 0754445733

Asali ina faida kubwa sana Asali ni Tiba kwa kila maradhi

YAFAHAMU MAGONJWA 23 YANAYOTIBIWA KWA MATUMIZI YA ASALI....

1. Ugonjwa wa viungo/maumivu na uvimbe.
2. Kukatika kwa nywele.
3. Ukungu wa miguu.
4. Maambukizo kwenye kibofu cha mkojo.
5. Maumivu ya jino.
6. Lehemu (Cholestral).
7. Ugumba
8. Mchafuko wa tumbo.
9. Ugonjwa wa moyo
10. Shinikizo la damu.
11. Kinga ya mwili.
12. Ukosefu wa nguvu za kiume.
13. Flu.
14. Umri wa kuishi.
15. Chunusi.
16. Kuumwa na wadudu (kwa washawasha) wenye sumu.
17. Madhara ya ngozi.
18. Kupungua kwa uzito.
19. Saratani.
20. Uchovu mwilini.
22. Harufu mwilini.
23. Kupungua kwa usikivu

ASALI NA MDALASINI KINGA YA MARADHI YA MOYO.jpg
 
mkuu dozi ni sawa kwa magonjwa yote 23 ?na unatumia kwa muda gani
Una angalia ukubwa wa Maradhi yako kwa mfano ukiwa na maradhi ya Saratani tumia vijiko 2 asubuhi kabla ya kula kitu na mchana vijiko 2 na usiku vijiko 2 kila siku tumia siku 90 unaweza kupona. Kwa maradhi mengine tumia kijiko 1 X3 kila siku kwa siku 30. Na Asali yenyewe iwe mbichi haija chakachuliwa. Tumia kijiko cha Plastiki usitumie kijiko cha Aluminium hakifai kunywea dawa ya Asali kinachofaa ni kijiko hiki hapa chini. Ukikosa nunuwa hata kijiko cha mbao pia kinafaa.

KIJIKO CHA PLASTIKI.jpg
 
Moja ya kinywaji kisicho expire kila ukiiweka na ubora unazid
Mkuu mimi huwa ninatumia Asali kunywa kila siku ninapo amka asubuhi na usiku wakati wa kwenda kulala huwa inasaidia nguvu za kiume kusafisha ini na figo na kunikinga na mafua huku nje baridi kali sana. Asali ukinywa inakusaidia kukukinga na baridi haiwezi kukuingia mwilini mwako na mafuta ya Zaituni huwa ninajipakaa mwilini basi mafua baridi haito ingia mwilini mwangu . Na uzee tena ndio hivyo lazima nile Asali ukisha fika umri wa miaka 50 na kuendelea lazima utumie asali kwa ajili ya afya ya mwili wako.
 
Mkuu Mimi nikilamba asali, au kuitumia kivyovyote huwa napata maumivu ya tumbo sana.

Ni nini tatizo??
chukuwa Asali kijiko 1 tia ndani ya glasi ya maji ya uvuguvugu koroga vizuri unywe jaribu hiyo njia tuone kama ni utaumwa na hilo tumbo tena.
 
Mkuu mimi huwa ninatumia Asali kunywa kila siku ninapo amka asubuhi na usiku wakati wa kwenda kulala huwa inasaidia nguvu za kiume kusafisha ini na figo na kunikinga na mafua huku nje baridi kali sana. Asali ukinywa inakusaidia kukukinga na baridi haiwezi kukuingia mwilini mwako na mafuta ya Zaituni huwa ninajipakaa mwilini basi mafua baridi haito ingia mwilini mwangu . Na uzee tena ndio hivyo lazima nile Asali ukisha fika umri wa miaka 50 na kuendelea lazima utumie asali kwa ajili ya afya ya mwili wako.
Mkuu utakua uko vizur kiafya
 
Mkuu utakua uko vizur kiafya
Ninashukuru Mungu miaka 53 na sina maradhi yoyote mwilini mwangu ninajiangalia sana ninapo amka huwa ninachukuwa vijiko 2 Vya Siki ya Apple Cider Vinegar ninatia ndani ya glasi ya maji ya Uvuguvugu kisha ninatia kijiko 1 cha Asali ninakoroga vizuri na kunywa kila siku asubuhi, kisha ninakaa kwa dakika 20 ninaongeza glasi 1 ya maji ya uvuguvugu kisha ninakaa kwa muda wa Saa 1 kupita nina kula tunda moja la Apple,Tango 1 na ndizi 1 kila siku ndio ninavyokula .Kisha ikipita masaa 2 ndio ninakunywa chai ya asubuhi tena.

FAIDA YA KUNYWA SIKI YA APPLE.jpg
TUNDA LA APPLE.jpg
Je unafahamu umuhimu wa apple.jpeg
NDIZI.jpeg

FAIDA 10 ZA TANGO.jpg
 
Ninashukuru Mungu miaka 53 na sina maradhi yoyote mwilini mwangu ninajiangalia sana ninapo amka huwa ninachukuwa vijiko 2 Vya Siki ya Apple Cider Vinegar ninatia ndani ya glasi ya maji ya Uvuguvugu kisha ninatia kijiko 1 cha Asali ninakoroga vizuri na kunywa kila siku asubuhi, kisha ninakaa kwa dakika 20 ninaongeza glasi 1 ya maji ya uvuguvugu kisha ninakaa kwa muda wa Saa 1 kupita nina kula tunda moja la Apple,Tango 1 na ndizi 1 kila siku ndio ninavyokula .Kisha ikipita masaa 2 ndio ninakunywa chai ya asubuhi tena.

View attachment 624112 View attachment 624113 View attachment 624121 View attachment 624126
View attachment 624132
hiyo apple cider huku uswahilini hakuna mkuu tunaishia kuziona kwenye picha
 
Back
Top Bottom