Yafahamu magonjwa 23 yanayotibiwa kwa matumizi ya asali

Yafahamu magonjwa 23 yanayotibiwa kwa matumizi ya asali

View attachment 573408 View attachment 573409

MARAFIK ZANGU HAMJAMBO?

Haya Tena kwa wale wanaotaka Asali safi ya nyuki isiyo chakachuliwa Lita moja ni shilingi 15.000 wawasiliane kwa namba ya simu hii hapa 0754445733

Asali ina faida kubwa sana Asali ni Tiba kwa kila maradhi

YAFAHAMU MAGONJWA 23 YANAYOTIBIWA KWA MATUMIZI YA ASALI....

1. Ugonjwa wa viungo/maumivu na uvimbe.
2. Kukatika kwa nywele.
3. Ukungu wa miguu.
4. Maambukizo kwenye kibofu cha mkojo.
5. Maumivu ya jino.
6. Lehemu (Cholestral).
7. Ugumba
8. Mchafuko wa tumbo.
9. Ugonjwa wa moyo
10. Shinikizo la damu.
11. Kinga ya mwili.
12. Ukosefu wa nguvu za kiume.
13. Flu.
14. Umri wa kuishi.
15. Chunusi.
16. Kuumwa na wadudu (kwa washawasha) wenye sumu.
17. Madhara ya ngozi.
18. Kupungua kwa uzito.
19. Saratani.
20. Uchovu mwilini.
22. Harufu mwilini.
23. Kupungua kwa usikivu

View attachment 624100

Kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume je matumizi yanakua vipi mkuu
 
14.umri wa kuishi.

Inaongeza umri ee?
 
Una angalia ukubwa wa Maradhi yako kwa mfano ukiwa na maradhi ya Saratani tumia vijiko 2 asubuhi kabla ya kula kitu na mchana vijiko 2 na usiku vijiko 2 kila siku tumia siku 90 unaweza kupona. Kwa maradhi mengine tumia kijiko 1 X3 kila siku kwa siku 30. Na Asali yenyewe iwe mbichi haija chakachuliwa. Tumia kijiko cha Plastiki usitumie kijiko cha Aluminium hakifai kunywea dawa ya Asali kinachofaa ni kijiko hiki hapa chini. Ukikosa nunuwa hata kijiko cha mbao pia kinafaa.

View attachment 624068

Je unaweza kutwambia kijiko cha Aluminium kina madhara gani?
 
Ninashukuru Mungu miaka 53 na sina maradhi yoyote mwilini mwangu ninajiangalia sana ninapo amka huwa ninachukuwa vijiko 2 Vya Siki ya Apple Cider Vinegar ninatia ndani ya glasi ya maji ya Uvuguvugu kisha ninatia kijiko 1 cha Asali ninakoroga vizuri na kunywa kila siku asubuhi, kisha ninakaa kwa dakika 20 ninaongeza glasi 1 ya maji ya uvuguvugu kisha ninakaa kwa muda wa Saa 1 kupita nina kula tunda moja la Apple,Tango 1 na ndizi 1 kila siku ndio ninavyokula .Kisha ikipita masaa 2 ndio ninakunywa chai ya asubuhi tena.

View attachment 624112 View attachment 624113 View attachment 624121 View attachment 624126
View attachment 624132

Duh, hii inategemea unafanya mishe gani mkuu. Ila nzuri ukiweza
 
kwa wanaohitaji asali nauza lita moja kwa TSH 10,000 Tu usafiri unalipia mtej nipo kigoma tanzania
 
Masaa 2 yaliyopita channel ya TV ya Good morning America wamezungumzia ilo
 

Attachments

  • Screenshot_20231010-153335_Facebook.jpg
    Screenshot_20231010-153335_Facebook.jpg
    108 KB · Views: 9
Back
Top Bottom