Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Jamaa alipata mganga wa maana sana😁Yupo sahihi chama kimemtuma, hatuitaji watendaji wabovu...
Haya mambo ni kawaida katika chama chetu ktk kuisimamia serikali na watendaji wake
View attachment 2811956
Swali ni taja majukumu ya Katibu wa Itikadi na uenezi hilo ndilo swaliYupo sahihi chama kimemtuma, hatuitaji watendaji wabovu...
Haya mambo ni kawaida katika chama chetu ktk kuisimamia serikali na watendaji wake
View attachment 2811956
Hacha kutupangia Kama chama Ktk kufanya majukumu...!Tunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.
Kufundisha, kuelimisha, kuwakukumbusha wanachama na wasio wanachama itikadi ya chama chao. Kuvutia wanachama wapya.Swali ni taja majukumu ya Katibu wa Itikadi na uenezi hilo ndilo swali
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Nenda kapitie katiba ya chamaSwali ni taja majukumu ya Katibu wa Itikadi na uenezi hilo ndilo swali
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Makonda yupo sahihi.Mkuu to me Makonda ni Publicity Secretary,sasa kutaka Mawaziri na wakuu wa Taasisi wapeleke kwake taarifa za utendaji wao si sawa na kawadhalilisha.Ndio serikali hii ni ya CCM,lakini mamlaka hiyo ni ya Katibu Mkuu wa Chama na zipo protocols za kichama,si hivi anavyofanya Makonda.
Kijana huyu anapenda sifa sana,anachotafuta ni uadui tu na watu,na ataupata.
Sofia Mjema hakupwaya. Yeye ni mstaarabu anayeendandana na wakati globally.Huu ni mkakati wa kutaka kuwapunguza pembe ambao wamekuwa ni vichwamaji kama Nape, Mwigulu na January Makamba. Wanajiona wao ni untouchable. Unakumbuka juzi alimpigia Kidata akamshiti na watu wakamcheka Makonda? Sasa anamrudi maana Samia alisha mshindwa Kidata. Hata Majaliwa alipoeenda kuongea na Wafanyabiashara wa Kariakoo, Kidata hakwenda pamoja Waziri wake alikuwepo. Kidata amekuwa Problem sababu ya mtoto wa samia...... Huu mkakati pia ni moja ya kumsafisha Samia kwa kumteua Sofia Mjema ambaye alipwaya hakuna mfano.
Wanaposikia chama , walitaka waone CCM yenyewe inaongea [emoji1787].Yupo sahihi chama kimemtuma, hatuitaji watendaji wabovu...
Haya mambo ni kawaida katika chama chetu ktk kuisimamia serikali na watendaji wake
View attachment 2811956
Kama ameagizwa na Chama.Tunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.
Na waache Ujinga.Kufundisha, kuelimisha, kuwakukumbusha wanachama na wasio wanachama itikadi ya chama chao. Kuvutia wanachama wapya.
Kusimamia ilani na kuwaambia umma chama kinatimiza ilani, sera zake kikamilifu. Kwamba ni chama chenye nidhamu, kinajali maisha ya wananchi na kiko serious kutatua kero zao.
Sasa kama wote kwenye chama,serikalini wamelala, wamejifungia ndani wanaogopa kukutana na wananchi na kujibu maswali yao, wote wapigaji, kuna mantiki gani kuwa na hivi vyeo vyote?
Sofia Mjema hakupwaya. Yeye ni mstaarabu anayeendandana na wakati globally.
Changamoto iliyopo ni kwamba asilimia kubwa ya wananchi ni wajinga na siasa zetu zinategemea ujinga huo wa halaiki.
Hata hivyo, katika kuenenda na hali halisi, lazima atumike mtu anayeweza kuweka ufanisi kwa wakati huu.
M
Hivyo basi, siyo vizuri kumchonganisha Rais Samia na Sofia au Sofia na Makonda. CCM ni moja.
Chama hakijielewiTunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.