Yafahamu Majukumu ya Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM

Yafahamu Majukumu ya Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM

Siasa zetu, utendaji serikalini na mambo mengi ya kijamii na kiserikali huendeshwa Kinyumbu nyumbu (kufuata mkumbo) bila Kutumia akili, busara wala sheria na taratibu.
Kwa hali hiyo, tunahitaji mtu kama Makonda ayakimbize na kuyawajibisha hayo manyumbu bila kujali nafasi na madaraka yao.
Umuhihimu wa watu kama Makonda katika jamii na taifa unaonekana.
Chama lazima kienende na mahitaji ya jamii na taifa kwa wakati husika.
 
Tunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.
Hacha kutupangia Kama chama Ktk kufanya majukumu...!

Wakati anachukua hii Nafasi alisema hana urafiki na watendaji wabovu na hato waonea aibu
 
Swali ni taja majukumu ya Katibu wa Itikadi na uenezi hilo ndilo swali

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kufundisha, kuelimisha, kuwakukumbusha wanachama na wasio wanachama itikadi ya chama chao. Kuvutia wanachama wapya.

Kusimamia ilani na kuwaambia umma chama kinatimiza ilani, sera zake kikamilifu. Kwamba ni chama chenye nidhamu, kinajali maisha ya wananchi na kiko serious kutatua kero zao.

Sasa kama wote kwenye chama,serikalini wamelala, wamejifungia ndani wanaogopa kukutana na wananchi na kujibu maswali yao, wote wapigaji, kuna mantiki gani kuwa na hivi vyeo vyote?
 
Mkuu to me Makonda ni Publicity Secretary,sasa kutaka Mawaziri na wakuu wa Taasisi wapeleke kwake taarifa za utendaji wao si sawa na kawadhalilisha.Ndio serikali hii ni ya CCM,lakini mamlaka hiyo ni ya Katibu Mkuu wa Chama na zipo protocols za kichama,si hivi anavyofanya Makonda.

Kijana huyu anapenda sifa sana,anachotafuta ni uadui tu na watu,na ataupata.
Makonda yupo sahihi.
 
Huu ni mkakati wa kutaka kuwapunguza pembe ambao wamekuwa ni vichwamaji kama Nape, Mwigulu na January Makamba. Wanajiona wao ni untouchable. Unakumbuka juzi alimpigia Kidata akamshiti na watu wakamcheka Makonda? Sasa anamrudi maana Samia alisha mshindwa Kidata. Hata Majaliwa alipoeenda kuongea na Wafanyabiashara wa Kariakoo, Kidata hakwenda pamoja Waziri wake alikuwepo. Kidata amekuwa Problem sababu ya mtoto wa samia...... Huu mkakati pia ni moja ya kumsafisha Samia kwa kumteua Sofia Mjema ambaye alipwaya hakuna mfano.
Sofia Mjema hakupwaya. Yeye ni mstaarabu anayeendandana na wakati globally.
Changamoto iliyopo ni kwamba asilimia kubwa ya wananchi ni wajinga na siasa zetu zinategemea ujinga huo wa halaiki.
Hata hivyo, katika kuenenda na hali halisi, lazima atumike mtu anayeweza kuweka ufanisi kwa wakati huu.
Hivyo basi, siyo vizuri kumchonganisha Rais Samia na Sofia au Sofia na Makonda. CCM ni moja.
 
Tunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.
Kama ameagizwa na Chama.

Je Hao mawaziri kwenye Chama wamemzidi Katibu huyu ukubwa
 
Ccm ilisinzia kuanzia kamati Kuu hadi jumuiya zake , hata ile molali ya kukisemea chama Kwa wajumbe wa NEC kama ilivyokuwa miaka ya nyuma ilipotea na hiyo ni baada ya kutokea makundi awamu iliyopita na hii ya sasa kuonekana imejitengea kundi lake hivyo kila mmoja alijiona ni muda wa kuchukua fito zake ili kujenga kibanda mbele ya safari kama vile baadhi ya mawaziri walivyonasibishwa na kugombea uraisi 2025 . Katibu mkuu wa sasa hana mvuto kwakuwa anayofanya Makonda ndiyo alipaswa kuyatekeleza yeye na isingekuwa taarabu kama sasa bali ni vitendo tu baada ya kutoka kwenye kikao cha kamati Kuu.
Hakuna mnec aliyepita media na kuongelea mazuri ya CCM Kwa dhamana waliyopewa zaidi ya kumsukumia jumba bovu chotara wa iringa.
 
Kufundisha, kuelimisha, kuwakukumbusha wanachama na wasio wanachama itikadi ya chama chao. Kuvutia wanachama wapya.

Kusimamia ilani na kuwaambia umma chama kinatimiza ilani, sera zake kikamilifu. Kwamba ni chama chenye nidhamu, kinajali maisha ya wananchi na kiko serious kutatua kero zao.

Sasa kama wote kwenye chama,serikalini wamelala, wamejifungia ndani wanaogopa kukutana na wananchi na kujibu maswali yao, wote wapigaji, kuna mantiki gani kuwa na hivi vyeo vyote?
Na waache Ujinga.

Ndani ya CCM Kiprotokali Makonda yupo chini ya Mwenyekiti,Makamu wenyeviti Katibu mkuu pekee.

Wanaccm wengine wote wako Chini yake kiprotokali , hata wajumbe wengine wa CC.

So wafuate wanachoelekezwa na kiongozi wao.
 
Watu wanne tu wako juu yake. Wamemtuma, wanampa maelekezo kuhakikisha ilani ya chama inatekelezwa, bila kuyumbayumba, chenga, usanii bila ufisadi, rushwa, uonevu nk.
Matokeo, matokeo,matokeo.

Huo ndio uenezi wenye tija. Ndivyo unavyokitangaza chama kwa Watanzania na kukubalika kwa wananchi wengi.
 
Sofia Mjema hakupwaya. Yeye ni mstaarabu anayeendandana na wakati globally.
Changamoto iliyopo ni kwamba asilimia kubwa ya wananchi ni wajinga na siasa zetu zinategemea ujinga huo wa halaiki.
Hata hivyo, katika kuenenda na hali halisi, lazima atumike mtu anayeweza kuweka ufanisi kwa wakati huu.
M
Hivyo basi, siyo vizuri kumchonganisha Rais Samia na Sofia au Sofia na Makonda. CCM ni moja.

Sofia Mjema na Shaka pale aliyetua alikosea. Amepoteza miaka miwili bure.

Bora katibu mkuu angemrudisha Bashiru, na mwenezi Polepole toka siku ya kwanza ya utawala wake.
 
Uzijue kazi zake ili iweje? Wewe ni mkaguzi wake? Yeye akizijua inatosha.
 
Umeshawahi kuona katibu wa uenezi CCM akifanya ziara ya pekee yake na kupokelewa na viongozi wa mkoa wa chama, kupewa ulinzi mkubwa kama vile katibu mkuu.

Toka lini katibu mwenezi wa chama chochote akajipangia ziara bila ya baraka za katibu mkuu kumuwekea budget.

Mpaka hapo pata picha Makonda ni project ya mwenyekiti wa chama na raisi wa nchi na si ajabu ndio aliempangia hiyo ziara binafsi.

Mwenyekiti ana lengo gani la kimkakati kumpendelea Makonda anajua mwenyewe ā€˜bi tozo’.

Desperate times, calls for desperate measures; if you ask.

There are no permanent enemies in politics, only permanent interest.
 
Tunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.
Chama hakijielewi
Serekali haijielewi
Wananchi hawajielewi

KAZI KWELI KWELI
 
Back
Top Bottom