Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Majukumu ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ni kutoa taarifa/ maagizo ya chama. Kama Makonda anafanya hivyo na huoni akizuiwa na Katibu Mkuu au Wenyeviti, basi hicho anachokisema huko ndiyo maagizo/ taarifa za Chama.Wadau nawasabahi.
Nimeshtushwa kidogo na Matamko mazito yanayotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenzi wa CCM Taifa Bw. Makonda ya kutaka apewe Taarifa za Utendaji za Mawaziri na watendaji wa Taasisi kama TRA n.k
Matamko ambayo mengi ni ya Kiutendaji ambayo nilitarajia Mtendaji Mkuu wa Chama ambaye ni Katibu Mkuu angeyatoa.
Najiuliza je, Kazi za Katibu wa Itikadi na Uenezi ni zipi? Mwenye kuzifahamu atujuze ili tumjue Kiongozi sahihi wa hizo kazi.
Jambo kama hili liliwahi kufanywa wakati ambao Nape Nnauye akiwa kwenye nafasi kama ya Makonda, hapo ndipo neno la 'Mawaziri Mzigo' lilipoasisiwa. Kwa hiyo hatua hiyo siyo mpya kwa CCM.
Ova