Msafiwaakili
Member
- Jan 4, 2022
- 11
- 8
Matumaini yangu ni wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza kabisa nianze kwa kuisifu,eeeh bhanaa hamna mikoa mizuri hapa Tanzania [emoji1241] kama mikoa ya kusini hasa hasa ile iliyopitiwa na bahari yaani MTWARA na LINDI sijajua hata tulikwama wapi kuifanya iwe kama Istanbul, Edinburgh ya Scotland, New Orleans ya Louisiana, Venice ya Italy, Bangkok ya Thailand, Honolulu ya Hawaii, Miami, Vancouver ya British Colombia, Tokyo, Chicago, Los angeles, New York city na mingine kibao.
NIJE KWENYE POINT SASA[emoji419]
Hii mikoa inarasilimali nyingi sana especially MTWARA ingawa inasemekana kuna wasomi wazawa wachache katika fani mbalimbali.
•Ili kuiboost ii mikoa kwanza wasomi wazawa kwenye fani mbalimbali wote wahesabiwe (kama kwenye SENSA inawezekana ii haishindikani) ambao wapo mikoani umo.
•Community assets ziorodheshwe vyema (hapa sina shaka mana rasilimali zipo kama zote) mfano kwa mtwara kuna ardhi yenye rutuba, Gesi asilia, Fukwe nzuri, Bahari safi kabisa, misitu.
Baada ya kufanya ivo iandaliwe project ambayo itafanyika ndani ya mikoa yaani each and every process inafanyika ndani hamna kuhusishwa mkoa mwingine,ingawa kwa baadhi ya projects bajeti kubwa itatumika lakini italeta matokeo makubwa sana. Alafu kulingana na project hiyo wazawa wenye taaluma kwenye iyo fani wapewe kipaumbele kwenye kushiriki (kuajiriwa) na wasipotosha waongezwe kutoka maeneo mengine. JAMII LAZIMA ZITUMIE ASSETS ZILIZONAZO ILI KULETA MAENDELEO KWENYE JAMII HUSIKA hii njia ndo imetumika na majiji mengi duniani.
• Yawepo madarasa ya kutoa elimu ya uwekezaji kwa jamii ili isifanyike kazi bure pesa yote wakaenda kununulia soda mbuzi, kufanyia unyago, kunywea pombe na kuvutia bangi.
Mfano:
Project Kwa suala la ardhi yenye rutuba wafacilitate kilimo kwa kutenga maeneo kwa ajili ya mashamba makubwa ya mazao ya msimu kama mbaazi, karanga, mihogo afu wazawa wenye fani zao kwenye kilimo wachukuliwe wafanye yao. Hapa pia itaambatana na uanzishwaji wa semina mbalimbali kuhusu kilimo pamoja na mradi wa uzalishaji wa mbolea kupitia malighafi zipatikanazo mkoani hapo kama vile mabaki ya mimea na takataka nyinginezo.
Hii mbolea itaboost pia uzalishaji wa mazao ya mda mrefu kama vile korosho.KOTE UKO WAZAWA WENYE TAALUMA WAPEWE KIPAUMBELE kwenye fani husika. Good enough bandari ipo na ni nzuri tu exportation ya mazao yote hayo ianzie hapo.
MIDDLE MEN KATIKA UNUNUAJI WA MAZAO WAPIGWE VITA, CHANGAMOTO KUBWA IPO KWA SERIKALI SASA IPO STRONG ENOUGH KUFANYA YOTE HAY0? mpaka inakera[emoji23].
Kuna suala la Recreation places kwenye beaches, utalii, viwanda na mengine mengi. KUSINI KAMA HONGKONG
Nitauendeleza uzi na kuufanyia updates niishie hapa kwanza
View attachment 2070084
View attachment 2070085
View attachment 2070086
View attachment 2070087
View attachment 2070088