Yafanyike haya ili ku-boost mikoa ya Kusini iliyolala

Yafanyike haya ili ku-boost mikoa ya Kusini iliyolala

Nataka hekta laki moja kwa ajili ya kulima chikichi,katani,alizeti vipi mikoa ya kusini naweza pata zote kwa pamoja na vipi hali ya hewa ni rafiki kwa mazao hayo.
Nataka kufanya estates
Mashamba yapo hadi ya tsh 50000
 
Katika mambo ambayo hayawezekani labda wakoloni warudi ni issues za mwafika kuendeleza kimaendeleo eneo alilotoka liwe katika mvuto na uzalishaji.

Moja ya sababu ni kwamba sisi waafrika hatukupewa creativity unit spirit ambayo unaweza kujituma na ukamshirikisha mwenzako na mkafanya jambo kubwa, HAKUNA.

Siyo Mtwara na Lindi tu, chukua mfano wa rais late Mkapa kwao si huko masasi, why akaacha kwao akaenda kujenga south Afrika au Lushoto?.

Although kuna jambo ambalo linafanya ugumu ni tabia endelevu, watu fulani as wasomi, viongozi nk wakianza kuendeleza kwao, wengine watapiga kelele kuwa ni wezi, wanaiba na kufanya mapinduzi kwao.

Roho mbaya, husuda, ubinafsi vyote vinachangia kila mkoa kuwa ulivyo leo, angalia mererani, ndiko in the globe Tanzanite inatoka lakini mpaka kufika kule kama huna usafiri wa maana utadhani umetoka shimoni.

But nenda huko duniani wanakouza huo mzigo sasa 🥱!.
Mwafrika Katu hawezi mletea maendeleo mwafrika mwenzake.
Hii ni nature case study zipo tele kuhusu ili
 
Back
Top Bottom