Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Mashamba yapo hadi ya tsh 50000Nataka hekta laki moja kwa ajili ya kulima chikichi,katani,alizeti vipi mikoa ya kusini naweza pata zote kwa pamoja na vipi hali ya hewa ni rafiki kwa mazao hayo.
Nataka kufanya estates
Mwafrika Katu hawezi mletea maendeleo mwafrika mwenzake.Katika mambo ambayo hayawezekani labda wakoloni warudi ni issues za mwafika kuendeleza kimaendeleo eneo alilotoka liwe katika mvuto na uzalishaji.
Moja ya sababu ni kwamba sisi waafrika hatukupewa creativity unit spirit ambayo unaweza kujituma na ukamshirikisha mwenzako na mkafanya jambo kubwa, HAKUNA.
Siyo Mtwara na Lindi tu, chukua mfano wa rais late Mkapa kwao si huko masasi, why akaacha kwao akaenda kujenga south Afrika au Lushoto?.
Although kuna jambo ambalo linafanya ugumu ni tabia endelevu, watu fulani as wasomi, viongozi nk wakianza kuendeleza kwao, wengine watapiga kelele kuwa ni wezi, wanaiba na kufanya mapinduzi kwao.
Roho mbaya, husuda, ubinafsi vyote vinachangia kila mkoa kuwa ulivyo leo, angalia mererani, ndiko in the globe Tanzanite inatoka lakini mpaka kufika kule kama huna usafiri wa maana utadhani umetoka shimoni.
But nenda huko duniani wanakouza huo mzigo sasa 🥱!.
Yaani mapori mfano kilometa 20 hivi ukubwa urefu kwa upanaMashamba yapo hadi ya tsh 50000
Yaani mapori mfano kilometa 20 hivi ukubwa urefu kwa upa
Unataka kununua shamba kwa kipimo cha eka au kwa square kilometres?
Hivi una wajua wale jamaa wewe! HahahahaaaaaaNaona kule tuwahamishe tupande miti!
Square kilometersMuafaka kununua shamba kwa kipimo cha eka au kwa square kilometres?
Mhh
Bei ya korosho ni ndogo kuliko ya mahindi ya songea?
Mikoa ya kusini ndiyo yenye hazina za rasrimali nyingi kwa sasa.
Na ndio tegemeo la Taifa hapo baadae.
Hebu tuendelee kuithamini na kuiheshimu.
Ni ngumu kuipata sababu Maisha ni rahisi Afrika unaweza kula bila kazi
Mwafrika mwenye njaa ndie mwenye akili.Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake.Case study.[emoji28][emoji28]dah na ukipata mlo tu unaridhika hamna kufanya maendeleo
That's why hata viongozi wa kisiasa wa kiafrika ni mfumo wa kuwaibia wananchi na kuiibia nchi rasilimali.Mwafrika Katu hawezi mletea maendeleo mwafrika mwenzake.
...
Uongozi ni kichaka chepesi cha kuibia wananchi thus huwezi kuta kiongozi wa kiafrica anatetea maslai ya wananchiThat's why hata viongozi wa kisiasa wa kiafrika ni mfumo wa kuwaibia wananchi na kuiibia nchi rasilimali.
[emoji23][emoji81] wazawa bhana
Mnateseka mkiwa mikoa gani??Mikoa ya kusini inatakiwa ipakwe mkongo, mapema tu itasimama.
Tukiwa mtama.Mnateseka mkiwa mikoa gani??
Tujue