SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

Stories of Change - 2022 Competition

Deogratias_01

Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
18
Reaction score
141
105b45bfcead46f4be0d491510c031f7(1).jpg
Chanzo: Picha na JamiiForums

Yafanyike haya kuikomboa NHIF

Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta ya Afya (Health Sector Strategic Plan (HSSP) V 2021/22 – 2025/26) pamoja na makubaliano ya Kimataifa na kikanda yenye lengo la kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi, yafaa kuzingatia uwepo kwa uongozi shupavu na wenye mipango kazi makini, miradi yenye tija na endelevu pamoja na ushirikiano wa wadau, mawakala na kila mwananchi ili kuweka mazingira wezeshi katika utimizaji na utekelezaji wa malengo na maadhimio ya uboreshaji na upanuzi mpana wa kiutendaji, umakini na ubunifu wa utoaji wa huduma bora za afya nchini Tanzania.

Licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha huduma za afya kwa kuwa na uongozi imara na shupavu, kuweka mazingira mazuri kwa wananchi wote kuwa na uhakika wa kupata huduma bora za afya, uwekezaji katika ujenzi wa miundombinu ya utoaji wa huduma za afya ikiwemo Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya na Mikoa katika maeneo mbalimbali nchini sambamba na ununuzi wa vifaatiba vya kisasa, kuongeza bajeti ya dawa na vitendea kazi na kuongeza ajira kwa watumishi katika Sekta ya Afya katika ngazi zote, endapo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ukiporomoka, utapelekea kuhatarisha afya za wananchi, kudorora kwa shughuli za kiuchumi na uchumi wa nchi kudidimia.

Katika muktadha huo, athari nyingi zaweza kushika hatamu kama mikakati na hatua stahiki zikichelewa kuzingatiwa katika kuukomboa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hususani katika kutafuta mbinu mbadala za kuhudumia Wanachama wagonjwa wa magonjwa yasioambukiza yenye malipo ghali kuyahudumia na yanayochangia asilimia 71% ya vifo vyote duniani kwa kila mwaka kama vile magonjwa ya huduma za matibabu ya figo kwa wanachama wanaopata huduma ya kuchuja damu (hemodialysis services), tiba za mionzi ya saratani na chemotherapia na matibabu ya upasuaji wa moyo (minimal and invasive cardiac procedures pamoja na sababu nyinginezo zilizochambuliwa, kuorodheshwa na kusadikika kuelemea na kuporomosha utendaji na uhimilivu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), basi tutazamie kushuhudia Mfuko kushindwa kutimiza majukumu yake kadiri ya mujibu wa sheria ya Bima ya Taifa ya Afya (Act, Cap 395) iliyotungwa kwa lengo kuu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma za ki-Afya kwa watu wote nchini.

Uhalisia wa matokeo kama Mfuko wa Taifa wa Bima ukishindwa kutimiza majukumu yake na kufa ni pamoja na kugota kwa zoezi la utoaji wa elimu kwa jamii juu ya dhana ya bima ya afya na umuhimu wa kujiunga na bima ya afya kabla ya kuugua, pamoja na kukwama kwa shughuli za uimarishaji wa mfumo wa bima ya afya nchini (NHIF na CHF) katika kuhamasisha Wananchi wengi kuwa na bima ya afya. Pili, watu wengi watakufa, haswa wale Wanachama waliosajiliwa na walio na matibabu ya gharama kubwa kama vile dialysis ikiwa hawawezi kulipa kutoka kwenye mifuko yao wenyewe. Benki na Makampuni ya uwekezaji yatapoteza mabilioni ya fedha zilizowekwa/ kuwekezwa na NHIF. CHF itapoteza dhamana/ chelezo na hivyo basi zaidi ya 15% ya wanachama wa CHF wanaweza kupoteza bima zao za matibabu. Pia, manufaa mengine ya NHIF kwa uchumi kama vile udhibiti wa ubora wa huduma za afya na bei, ajira na kodi zitapotea.

Nini kifanyike kuendeleza uhai na utendaji wa (NHIF)? Mosi, utambuzi wa haraka wa kitaalamu na mipango thabiti ya kutathmini viwango vya bei kitakachowezekana na endelevu dhidi ya kiwango cha manufaa kilichopo.

Pili, kuweka upya manufaa au/ na viwango vya malipo.

Tatu, kuangalia upya njia za malipo za mtoa huduma na kuchagua zile zinazofaa zaidi kama vile malipo ya awali au/na ada kwa kila kesi.

Nne, kutengeneza kifurushi cha uokoaji ili kuleta utulivu wa mfuko wakati hatua tajwa zikitekelezwa kama vile kutafuta mikopo yenye masharti nafuu kutoka benki/ taasisi za maendeleo.

Tano, kubuni dhamana za kijamii ili kupata fedha kupitia Soko la Mitaji (CMSA). Sita, kutafuta fedha za dharura kwa ajili ya uokoaji kutoka GoVT URT (MoFP & Disaater Fund PMO), WHO, UNICEF, IMF, Benki ya Dunia, AfDB. Mwisho, kuwezesha rasilimali watu kubuni na kuendesha NHIF endelevu.

Nakala hii inafungwa kwa kushauri bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuendelea kufanya kaguzi za mara kwa mara katika bohari nzima ya Sekta ya Afya nchini pamoja na kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kwa lengo la kusimamia na kuimarisha ubora wa upatikanaji na utoaji wa huduma za Afya. Utoaji wa elimu na miongozo mbalimbali ya tiba inayotolewa na Serikali. Vilevile, katika kuhakikisha uhai na uendelevu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Serikali kupitia Wizara ya Afya na idara zake, wawekezaji na wadau wote kudumisha ushirikiano, kusikiliza, kuchambua taarifa na kufanya tathmini (actuarial valuation) ya uhai na uendelevu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
 
Upvote 52
Mbona walioufikisha mfuko hapo bado hawajawajibika?
Waziri nae analalamikatu sasa nani wakuchukua hatua?

Jambo ambalo watakimbilia hapo labda kwenye hoja ya kuangalia viwango vya uchangiaji. Wakiongeza viwango hivyo itakua nimaumivu makali yanayozidi tozo.
 
View attachment 2350411
Picha na Jamii Forums

Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta ya Afya (Health Sector Strategic Plan (HSSP) V 2021/22 – 2025/26) pamoja na makubaliano ya Kimataifa na kikanda yenye lengo la kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi, yafaa kuzingatia uwepo kwa uongozi shupavu na wenye mipango kazi makini, miradi yenye tija na endelevu pamoja na ushirikiano wa wadau, mawakala na kila mwananchi ili kuweka mazingira wezeshi katika utimizaji na utekelezaji wa malengo na maadhimio ya uboreshaji na upanuzi mpana wa kiutendaji, umakini na ubunifu wa utoaji wa huduma bora za afya nchini Tanzania.

Licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha huduma za afya kwa kuwa na uongozi imara na shupavu, kuweka mazingira mazuri kwa wananchi wote kuwa na uhakika wa kupata huduma bora za afya, uwekezaji katika ujenzi wa miundombinu ya utoaji wa huduma za afya ikiwemo Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya na Mikoa katika maeneo mbalimbali nchini sambamba na ununuzi wa vifaatiba vya kisasa, kuongeza bajeti ya dawa na vitendea kazi na kuongeza ajira kwa watumishi katika Sekta ya Afya katika ngazi zote, endapo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ukiporomoka, utapelekea kuhatarisha afya za wananchi, kudorora kwa shughuli za kiuchumi na uchumi wa nchi kudidimia.

Katika muktadha huo, athari nyingi zaweza kushika hatamu kama mikakati na hatua stahiki zikichelewa kuzingatiwa katika kuukomboa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hususani katika kutafuta mbinu mbadala za kuhudumia Wanachama wagonjwa wa magonjwa yasioambukiza yenye malipo ghali kuyahudumia na yanayochangia asilimia 71% ya vifo vyote duniani kwa kila mwaka kama vile magonjwa ya huduma za matibabu ya figo kwa wanachama wanaopata huduma ya kuchuja damu (hemodialysis services), tiba za mionzi ya saratani na chemotherapia na matibabu ya upasuaji wa moyo (minimal and invasive cardiac procedures pamoja na sababu nyinginezo zilizochambuliwa, kuorodheshwa na kusadikika kuelemea na kuporomosha utendaji na uhimilivu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), basi tutazamie kushuhudia Mfuko kushindwa kutimiza majukumu yake kadiri ya mujibu wa sheria ya Bima ya Taifa ya Afya (Act, Cap 395) iliyotungwa kwa lengo kuu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma za ki-Afya kwa watu wote nchini.

Uhalisia wa matokeo kama Mfuko wa Taifa wa Bima ukishindwa kutimiza majukumu yake na kufa ni pamoja na kugota kwa zoezi la utoaji wa elimu kwa jamii juu ya dhana ya bima ya afya na umuhimu wa kujiunga na bima ya afya kabla ya kuugua, pamoja na kukwama kwa shughuli za uimarishaji wa mfumo wa bima ya afya nchini (NHIF na CHF) katika kuhamasisha Wananchi wengi kuwa na bima ya afya. Pili, watu wengi watakufa, haswa wale Wanachama waliosajiliwa na walio na matibabu ya gharama kubwa kama vile dialysis ikiwa hawawezi kulipa kutoka kwenye mifuko yao wenyewe. Benki na Makampuni ya uwekezaji yatapoteza mabilioni ya fedha zilizowekwa/kuwekezwa na NHIF. CHF itapoteza dhamana/chelezo na hivyo basi zaidi ya 15% ya wanachama wa CHF wanaweza kupoteza bima zao za matibabu. Pia, manufaa mengine ya NHIF kwa uchumi kama vile udhibiti wa ubora wa huduma za afya na bei, ajira na kodi zitapotea.

Nini kifanyike kuendeleza uhai na utendaji wa (NHIF)? Mosi, utambuzi wa haraka wa kitaalamu na mipango thabiti ya kutathmini viwango vya bei kitakachowezekana na endelevu dhidi ya kiwango cha manufaa kilichopo. Pili, kuweka upya manufaa au/na viwango vya malipo. Tatu, kuangalia upya njia za malipo za mtoa huduma na kuchagua zile zinazofaa zaidi kama vile malipo ya awali au/na ada kwa kila kesi. Nne, kutengeneza kifurushi cha uokoaji ili kuleta utulivu wa mfuko wakati hatua tajwa zikitekelezwa kama vile kutafuta mikopo yenye masharti nafuu kutoka benki/taasisi za maendeleo. Tano, kubuni dhamana za kijamii ili kupata fedha kupitia Soko la Mitaji (CMSA). Sita, kutafuta fedha za dharura kwa ajili ya uokoaji kutoka GoVT URT (MoFP & Disaater Fund PMO), WHO, UNICEF, IMF, Benki ya Dunia, AfDB. Mwisho, kuwezesha rasilimali watu kubuni na kuendesha NHIF endelevu.

Uz

Makala yako ni nzuri sana. Nimeipenda. Ila kuna upigaji mwingi sana NHIF kuanzia kwa watoa huduma mpaka kwa wanufaika
 
Mbona walioufikisha mfuko hapo bado hawajawajibika?
Waziri nae analalamikatu sasa nani wakuchukua hatua?

Jambo ambalo watakimbilia hapo labda kwenye hoja ya kuangalia viwango vya uchangiaji. Wakiongeza viwango hivyo itakua nimaumivu makali yanayozidi tozo.
Ndugu Mzalendo120,

Habari.

Kiuhalisia kila kitu kinahitaji muda, dhamira na mipango mikakati. Kwakuwa tatizo limeshabainika, naamini michakato ya kusuluhisha imeanza kuchukuliwa. Tuzidi kutoa ushirikiano na wahusika.

Ahsante.
 
Sawa mkuu.
Hata hivyo umeonesha muelekeo chanya.
Hongera kwakushiriki kuchangia afya za watanzania
 
Ushauri ni mzuri. Naamini wenye mamlaka wakuipitia wanaweza kupata chochote kitu ili kuokoa huu mfuko ulio na umuhimu sana kwa Taifa letu
 
View attachment 2350411
Picha na Jamii Forums

Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta ya Afya (Health Sector Strategic Plan (HSSP) V 2021/22 – 2025/26) pamoja na makubaliano ya Kimataifa na kikanda yenye lengo la kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi, yafaa kuzingatia uwepo kwa uongozi shupavu na wenye mipango kazi makini, miradi yenye tija na endelevu pamoja na ushirikiano wa wadau, mawakala na kila mwananchi ili kuweka mazingira wezeshi katika utimizaji na utekelezaji wa malengo na maadhimio ya uboreshaji na upanuzi mpana wa kiutendaji, umakini na ubunifu wa utoaji wa huduma bora za afya nchini Tanzania.

Licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha huduma za afya kwa kuwa na uongozi imara na shupavu, kuweka mazingira mazuri kwa wananchi wote kuwa na uhakika wa kupata huduma bora za afya, uwekezaji katika ujenzi wa miundombinu ya utoaji wa huduma za afya ikiwemo Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya na Mikoa katika maeneo mbalimbali nchini sambamba na ununuzi wa vifaatiba vya kisasa, kuongeza bajeti ya dawa na vitendea kazi na kuongeza ajira kwa watumishi katika Sekta ya Afya katika ngazi zote, endapo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ukiporomoka, utapelekea kuhatarisha afya za wananchi, kudorora kwa shughuli za kiuchumi na uchumi wa nchi kudidimia.

Katika muktadha huo, athari nyingi zaweza kushika hatamu kama mikakati na hatua stahiki zikichelewa kuzingatiwa katika kuukomboa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hususani katika kutafuta mbinu mbadala za kuhudumia Wanachama wagonjwa wa magonjwa yasioambukiza yenye malipo ghali kuyahudumia na yanayochangia asilimia 71% ya vifo vyote duniani kwa kila mwaka kama vile magonjwa ya huduma za matibabu ya figo kwa wanachama wanaopata huduma ya kuchuja damu (hemodialysis services), tiba za mionzi ya saratani na chemotherapia na matibabu ya upasuaji wa moyo (minimal and invasive cardiac procedures pamoja na sababu nyinginezo zilizochambuliwa, kuorodheshwa na kusadikika kuelemea na kuporomosha utendaji na uhimilivu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), basi tutazamie kushuhudia Mfuko kushindwa kutimiza majukumu yake kadiri ya mujibu wa sheria ya Bima ya Taifa ya Afya (Act, Cap 395) iliyotungwa kwa lengo kuu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma za ki-Afya kwa watu wote nchini.

Uhalisia wa matokeo kama Mfuko wa Taifa wa Bima ukishindwa kutimiza majukumu yake na kufa ni pamoja na kugota kwa zoezi la utoaji wa elimu kwa jamii juu ya dhana ya bima ya afya na umuhimu wa kujiunga na bima ya afya kabla ya kuugua, pamoja na kukwama kwa shughuli za uimarishaji wa mfumo wa bima ya afya nchini (NHIF na CHF) katika kuhamasisha Wananchi wengi kuwa na bima ya afya. Pili, watu wengi watakufa, haswa wale Wanachama waliosajiliwa na walio na matibabu ya gharama kubwa kama vile dialysis ikiwa hawawezi kulipa kutoka kwenye mifuko yao wenyewe. Benki na Makampuni ya uwekezaji yatapoteza mabilioni ya fedha zilizowekwa/kuwekezwa na NHIF. CHF itapoteza dhamana/chelezo na hivyo basi zaidi ya 15% ya wanachama wa CHF wanaweza kupoteza bima zao za matibabu. Pia, manufaa mengine ya NHIF kwa uchumi kama vile udhibiti wa ubora wa huduma za afya na bei, ajira na kodi zitapotea.

Nini kifanyike kuendeleza uhai na utendaji wa (NHIF)? Mosi, utambuzi wa haraka wa kitaalamu na mipango thabiti ya kutathmini viwango vya bei kitakachowezekana na endelevu dhidi ya kiwango cha manufaa kilichopo. Pili, kuweka upya manufaa au/na viwango vya malipo. Tatu, kuangalia upya njia za malipo za mtoa huduma na kuchagua zile zinazofaa zaidi kama vile malipo ya awali au/na ada kwa kila kesi. Nne, kutengeneza kifurushi cha uokoaji ili kuleta utulivu wa mfuko wakati hatua tajwa zikitekelezwa kama vile kutafuta mikopo yenye masharti nafuu kutoka benki/taasisi za maendeleo. Tano, kubuni dhamana za kijamii ili kupata fedha kupitia Soko la Mitaji (CMSA). Sita, kutafuta fedha za dharura kwa ajili ya uokoaji kutoka GoVT URT (MoFP & Disaater Fund PMO), WHO, UNICEF, IMF, Benki ya Dunia, AfDB. Mwisho, kuwezesha rasilimali watu kubuni na kuendesha NHIF endelevu.

Nakala hii inafungwa kwa kushauri bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuendelea kufanya kaguzi za mara kwa mara katika bohari nzima ya Sekta ya Afya nchini pamoja na kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kwa lengo la kusimamia na kuimarisha ubora wa upatikanaji na utoaji wa huduma za Afya. Utoaji wa elimu na miongozo mbalimbali ya tiba inayotolewa na Serikali. Vilevile, katika kuhakikisha uhai na uendelevu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Serikali kupitia Wizara ya Afya na idara zake, wawekezaji na wadau wote kudumisha ushirikiano, kusikiliza, kuchambua taarifa na kufanya tathmini (actuarial valuation) ya uhai na uendelevu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
Hongera kwa mkala yako, mawazo yako ni mazuri na yenye manufaa. Viongozi wanapaswa kuamin kua bima ya afya ni kipaumbele cha nguvu kazi ya taifa, mfuko lazima uwe imara. Viongozi wanapaswa pia kukusanya mawazo nyanja mbali ikiwemo wanaopata huduma. Historia huchangia kujua tatizo limeanzia wapi. Hivyo pia inapaswa kuangaliwa.
 
Nilivyosikia wanasema iwe Kwa wote nikajua uwezekano wa kufa ni mkubwa sababu Kwa wachache tu waliopo huduma si ya kuridhisha sembuse kuwa wote ?!
 
SUALA LA BIMA, nashauri:
1. Warudi upya katika jamii na kufanya kabisa kampeni rasmi ya watu wajue thamani ya BIMA NIHF Tanzania nzima kupitia mawakala wao wa mikoa na wilaya.
kwanini kampeni? Huduma ya afya ni jambo kubwa sana ila uhamasishaji wake umedolola nchini upande wa Bima. Ifanyike kampeni rasmi itayokutanisha watu na usajili uwepo hao hapo baada ya elimu.
2.Watizame NIHF kama ni mfumo wa Biashara na huduma kwa jamii. Waweke utaratibu wa muda wa kupiga debe kuongeza wanachama kila mwaka kwa kutembelea vijijini haswa ambapo maisha ni duni na wanahitaji kufikiwa maana vipato vyao ni vya msimu,, watambue muda wa mavuno ni muda ambao wakulima na wafugaji wanafedha, ni rahisi wanaposogezewa huduma kujisajili mana pesa ipo. BIMA zetu hawajatambua muda sahihi wa kupiga debe ipate wateja katika maeneo tofauti nchini.
3. Waongeze idadi ya wapata huduma katika BIMA na gharama zishuke kidogo. Nimeona watu wanatamani sana kujiunga na BIMA ya afya ila gharama, wengine wamelazimika kuongea na mawakala wawasajili na watu wasiotambuana nao ili tu wamudu gharama pangwa yaani wakala anapata mtu ila hajakamilika fedha analazima kumchuku na mtu nwingine wa nje ya familia na kuwapatia bima moja.
4. Dawa na huduma zizibitiwe kwa wanaufaika, uzuri sensa imepita itasaidia kutoa takwimu ya watu katika maeneo, wajiwekee malengo ya kufikia kihuduma.
5. Utaratibu wa malipo ya haraka kwa hospitali binafsi zinazotoa huduma za BIMA NIHF ewekwe ili kufanya hospitali binafsi zisione hasara ya mfumo wa Bima.
6. NIHF ijiwekeze katika makampuni ya hisa (wapate gawio) na miradi endelevu hapa nchini ili kukuza fedha na kujiimarisha kiutendaji na vifaa tiba.
7. Kuwepo na utaratibu wa kualika na kupokea wataalamu wa afya wanaopenda kuja Tanzania kusaidia wanafaika wa Bima. Hii itafanya tupate wadau toka nje, wataalamu wageni watao kuja kwa msimu kwa gharama zao kuja kutoa huduma za afya nchini na pia kupata kuungana na taasisi zingine za dunia zitazounga mkono Taasisi yetu.
8.Viongozi waipe hadhi NIHF. kwa kutoa zawadi za vifurushi ya BIMA ya NIHF na kwa kutoa misaada ya vifurushi vya BIMA ya NIHF. Hii itaipandisha hadhi katika jamii mfano kama Mbunge, Waziri, Mkuu wa wilaya, Mkuu wa Mkoa na wengine katika eneo lake anaweza toa lifurushi kwa wanamichezo, watu wenye mahitaji maalumu au mtu fulani aliyefanya tukio fulani nchini lenye tija na kuhamasisha makampuni yaliowekeza katika eneo lake kufanya hivyo.
Naamini kwa haya mawazo, Wizara na Taasisi husika lengwa wanaweza kutatua changamoto za mfuko wetu wa BIMA NIHF nchini.
Na mmmuhumba
0624 440 454

Nakaribisha na wadau wengine kutoa maini katika makala yangu juu ya elimu

View attachment 2350411
Picha na Jamii Forums

Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta ya Afya (Health Sector Strategic Plan (HSSP) V 2021/22 – 2025/26) pamoja na makubaliano ya Kimataifa na kikanda yenye lengo la kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi, yafaa kuzingatia uwepo kwa uongozi shupavu na wenye mipango kazi makini, miradi yenye tija na endelevu pamoja na ushirikiano wa wadau, mawakala na kila mwananchi ili kuweka mazingira wezeshi katika utimizaji na utekelezaji wa malengo na maadhimio ya uboreshaji na upanuzi mpana wa kiutendaji, umakini na ubunifu wa utoaji wa huduma bora za afya nchini Tanzania.

Licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha huduma za afya kwa kuwa na uongozi imara na shupavu, kuweka mazingira mazuri kwa wananchi wote kuwa na uhakika wa kupata huduma bora za afya, uwekezaji katika ujenzi wa miundombinu ya utoaji wa huduma za afya ikiwemo Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya na Mikoa katika maeneo mbalimbali nchini sambamba na ununuzi wa vifaatiba vya kisasa, kuongeza bajeti ya dawa na vitendea kazi na kuongeza ajira kwa watumishi katika Sekta ya Afya katika ngazi zote, endapo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ukiporomoka, utapelekea kuhatarisha afya za wananchi, kudorora kwa shughuli za kiuchumi na uchumi wa nchi kudidimia.

Katika muktadha huo, athari nyingi zaweza kushika hatamu kama mikakati na hatua stahiki zikichelewa kuzingatiwa katika kuukomboa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hususani katika kutafuta mbinu mbadala za kuhudumia Wanachama wagonjwa wa magonjwa yasioambukiza yenye malipo ghali kuyahudumia na yanayochangia asilimia 71% ya vifo vyote duniani kwa kila mwaka kama vile magonjwa ya huduma za matibabu ya figo kwa wanachama wanaopata huduma ya kuchuja damu (hemodialysis services), tiba za mionzi ya saratani na chemotherapia na matibabu ya upasuaji wa moyo (minimal and invasive cardiac procedures pamoja na sababu nyinginezo zilizochambuliwa, kuorodheshwa na kusadikika kuelemea na kuporomosha utendaji na uhimilivu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), basi tutazamie kushuhudia Mfuko kushindwa kutimiza majukumu yake kadiri ya mujibu wa sheria ya Bima ya Taifa ya Afya (Act, Cap 395) iliyotungwa kwa lengo kuu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma za ki-Afya kwa watu wote nchini.

Uhalisia wa matokeo kama Mfuko wa Taifa wa Bima ukishindwa kutimiza majukumu yake na kufa ni pamoja na kugota kwa zoezi la utoaji wa elimu kwa jamii juu ya dhana ya bima ya afya na umuhimu wa kujiunga na bima ya afya kabla ya kuugua, pamoja na kukwama kwa shughuli za uimarishaji wa mfumo wa bima ya afya nchini (NHIF na CHF) katika kuhamasisha Wananchi wengi kuwa na bima ya afya. Pili, watu wengi watakufa, haswa wale Wanachama waliosajiliwa na walio na matibabu ya gharama kubwa kama vile dialysis ikiwa hawawezi kulipa kutoka kwenye mifuko yao wenyewe. Benki na Makampuni ya uwekezaji yatapoteza mabilioni ya fedha zilizowekwa/kuwekezwa na NHIF. CHF itapoteza dhamana/chelezo na hivyo basi zaidi ya 15% ya wanachama wa CHF wanaweza kupoteza bima zao za matibabu. Pia, manufaa mengine ya NHIF kwa uchumi kama vile udhibiti wa ubora wa huduma za afya na bei, ajira na kodi zitapotea.

Nini kifanyike kuendeleza uhai na utendaji wa (NHIF)? Mosi, utambuzi wa haraka wa kitaalamu na mipango thabiti ya kutathmini viwango vya bei kitakachowezekana na endelevu dhidi ya kiwango cha manufaa kilichopo. Pili, kuweka upya manufaa au/na viwango vya malipo. Tatu, kuangalia upya njia za malipo za mtoa huduma na kuchagua zile zinazofaa zaidi kama vile malipo ya awali au/na ada kwa kila kesi. Nne, kutengeneza kifurushi cha uokoaji ili kuleta utulivu wa mfuko wakati hatua tajwa zikitekelezwa kama vile kutafuta mikopo yenye masharti nafuu kutoka benki/taasisi za maendeleo. Tano, kubuni dhamana za kijamii ili kupata fedha kupitia Soko la Mitaji (CMSA). Sita, kutafuta fedha za dharura kwa ajili ya uokoaji kutoka GoVT URT (MoFP & Disaater Fund PMO), WHO, UNICEF, IMF, Benki ya Dunia, AfDB. Mwisho, kuwezesha rasilimali watu kubuni na kuendesha NHIF endelevu.

Nakala hii inafungwa kwa kushauri bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuendelea kufanya kaguzi za mara kwa mara katika bohari nzima ya Sekta ya Afya nchini pamoja na kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kwa lengo la kusimamia na kuimarisha ubora wa upatikanaji na utoaji wa huduma za Afya. Utoaji wa elimu na miongozo mbalimbali ya tiba inayotolewa na Serikali. Vilevile, katika kuhakikisha uhai na uendelevu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Serikali kupitia Wizara ya Afya na idara zake, wawekezaji na wadau wote kudumisha ushirikiano, kusikiliza, kuchambua taarifa na kufanya tathmini (actuarial valuation) ya uhai na uendelevu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
Nafikiri tunafaa kuzingatia mfuko huu kama njia pekee ya kuhakikisha huduma za Afya kwa wananchi na sio kama njia mbadala kwa ajili ya watu wachache tuu. Andiko nzuri sana hongera kwakuliona hili
 
Kazi nzuri kijana, kura umepata
Naomba ikikupendeza unaweza kupitia na kutoa maoni yako na kura kwenye andiko Soc 2022 za molekuli baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano ugonjwa wa korona &
SOC Tanzania ya sayansi na teknolojia inawezekana na ina mchango mkubwa katika kuendana na kaulimbiu ya Tanzania ya viwanda
Ahsantee sana 🙏🏼
 
Ushauri mzuri. Upo Kitengo?
 
🙏🏾...

Umejitahidi Mtaalamu na kura yangu umepata.
 
Nafikiri tunafaa kuzingatia mfuko huu kama njia pekee ya kuhakikisha huduma za Afya kwa wananchi na sio kama njia mbadala kwa ajili ya watu wachache tuu. Andiko nzuri sana hongera kwakuliona hili
Ahsante sana ndugu 2Laws
 
Kazi nzuri kijana, kura umepata
Naomba ikikupendeza unaweza kupitia na kutoa maoni yako na kura kwenye andiko Soc 2022 za molekuli baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano ugonjwa wa korona &
SOC Tanzania ya sayansi na teknolojia inawezekana na ina mchango mkubwa katika kuendana na kaulimbiu ya Tanzania ya viwanda
Ahsantee sanAh

Ahsante kea kura na mawwzo yako.
Kura yangu umeipata ndugu!
 
Back
Top Bottom