Yafuatayo ni mauaji tisa (9) ya halaiki makubwa zaidi kuwahi kutokea Duniani

Acha ubishi wa kipuuzi

hoja ni mauaji ya halaiki

kama hujui maana ya halaiki

kaa kimya
Ubishi upi mkuu hao million 6 wameuawa lini mbona mnakuwa na propaganda za kitoto hivi...... Mnaropoka tu eti million 6 wakati mnasahau hta hawafiki hyo namba central europe by then .... Mkadanganye vikao vya kahawa sio great thinkers
 
Stupid, pick your struggle elsewhere.
 
Mbu stupid?? Haaahaaa stop getting emotional by justifying your baseless western propaganda..... I hear six million jews!!! Ooh Pliz save my breathe for once and get real!!!

Badala ulete ushahidi unaanza kupanick na english yako broken !!!

Hebu soma hii article ya kitafiti mpaka kesi ya nuremberg uone mnavyoumbuka

Repeated Claims of 6 Million Jews Dying Decades Before Hitler Vs Ignored Soviet Death Camp Tolls
For sure u dont have a brain bro,

unajua maana ya mauaji ya halaiki?

"mass murder"

hatubishanii idadi,tunazungumzia uwingi,

hata watu mia wakiuwawa bado ni mauaji

ya halaiki tek that to the bank
 
tafadhali picha zinatisha

Odessa Massacre

Slide1729.jpg

Babi Yar Massacre
Slide1628.jpg

Nanking Massacre
Slide1329.jpg

Sabra and Shatila Massacre
Slide2529.jpg

Halaiki inaweza kuwepo ila mnaikuza hawafiki hata laki 5 waliouawa kivp mnasahau mass murder za Huko Burma au East timor walipochinjwa watu mamilion zaidi ya 5.... Vipi huko uvira congo pale watutsi walipochinja wahutu mamilion mwaka 1997 .... Mbona huongelei Emir pasha alipoua waarmenia mamilion kisa ni wakristo waliokataa kusilimu...... Vp huongelei mauaji ya so called mass murder huko bunia kati ya wahema na walendu walikufa malaki alafu mnakimbilia eti wayahudi!!

Eti mass murder ni wayahudi!!!! Embu kafanyeni research acheni propaganda za wazungu ili muwaonee huruma israel wanaowatesa wapalestina wasio na hatia...... No wonder wana nuclear marekani haipigi kelele ila kila siku kuiandama Iran
 
tafadhali picha zinatisha

Odessa Massacre

Slide1729.jpg

Babi Yar Massacre
Slide1628.jpg

Nanking Massacre
Slide1329.jpg

Sabra and Shatila Massacre
Slide2529.jpg

Mkuu hiyo massacre nanking iliua bendi...... watu waliuawa kma kuku tena kwa panga sio hta risasi dah inahuzunisha sana
 
sana mkuu,nadhani mpaka sasa china inauchungu sana na emperior japan. ila kwakweli mungu mkubwa china imekujakuwa super power toka zamani inashambuliwa sana,mongolia, ganges khan na emperior japan wote walijaribu kuitawala china but walishindwa. Ancient Civilized Dynasty of china naonailiandikwa mpaka kwenye kuruani....MKATAFUTE ELIMU MPAKA HUKO CHINA.......HAHAHAAAAA WAISLAM MWENDE CHINA JAMANI MKATAFUTE ELIMU
 
Historia ina mambo mengi ya kujifunza
 
Asante nimejifunza kitu kikubwa Sana,kuhusu mauaji ya wayahudi ujerumani someni religious sensa ya mwaka 1933 na 1948 utapata ukweli.
 
Religious sensa ya nchi gani?
Asante nimejifunza kitu kikubwa Sana,kuhusu mauaji ya wayahudi ujerumani someni religious sensa ya mwaka 1933 na 1948 utapata ukweli.
 
YAFUATAYO NI MAUAJI TISA (9) YA HALAIKI MAKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA AMBAYO HAYAZUNGUMZWI SANA.

Ukisikia mauaji ya Halaiki (genocide) akili inakimbilia Rwanda , Soweto na Holocaust (waisrael walivyouliwa na WANAZI). Leo tunakupa Mauaji yaliyosahaulika lakini nayo ni makubwa mno.

1. WAJERUMANI WALIVYOSAFISHA KABILA LA WAHERERO.

Baada ya kusikia fununu ya madini Namibia, Wajerumani walikuja na kutawala pwani ya nchi hiyo na kukaa katikati ya kabila la waherero. Kosa kubwa wenyeji walipojifanya wabishi. Walizungukwa pande zote, Upande uliobaki ulikuwa ni jangwa ambalo visima vyote vya maji mjerumani alivitia sumu. Ukimbie unywe maji ya sumu au ufe na kiu jangwani au ukutane na risasi. Asilimia 80 ya wenyeji wote waliuwawa kikatili sana bila huruma.

2. WASOVIETI/USSR WALIPOHAMISHA JAMII NZIMA YA WACHECHNYA.

Kulizuka fununu kuwa Wachechya na Wainguish walikuwa wanawasaliti warusi wenzao vita ya pili ya dunia. Kuwapa adhabu serikali iliamuwa kubeba wote kwenye magari na kuwafukizilia maporini bila kumsamehe hata mmoja. Kila aliyebisha alikutana na Risasi . Wachechnya waliuwawa karibu 50% kutokana na sakata hili lililoitwa “Operation Lentil.”.

3. (HAITI) MAUWAJI YA PARSLEY/EL CORTE AU (KUKATWA).

Ukabila usikie tu redioni. Hii ilikuwa ni vita ya Kikabila, Wadominika walipanga kuwauwa Wahaiti karibu wote nchini mwao chini ya dikteta Rafael Leonidas Trujillo. Njia pekee ya kumtofautisha Mdominika na Muhaiti kwa walioleta utata kuwatambua ilikuwa matamshi ya hili neno "PARSLEY". Wahaiti walikuwa hawawezi kulitamka vizuri kutokana na Lugha yao. Wote walioshindwa waliuwawa kinyama. Kuepusha risasi zisiishe mapema, Hapa ilikuwa ni Mapanga na marungu asubuhi na mchana.

4. (TAIPEI REBELION) CHINA WATU ZAIDI YA 20 MILLION WALIPOTEZA MAISHA.

Hapa ilikuwa ni vita kati ya jamaa aliwaaminisha watu kuwa yeye ni Mdogo wake YESU. Akitawala karibu 1/3 ya nchi yote Hong Xiuquan. Akiongoza jeshi dhaifu kabisa kwa nia ya kuondoa kamali, uonevu, ndoa za wake wengi nk, China ilijikuta chini aya vita vya miaka 10 na kuacha raia zaidi ya 200 million wakifa na mamia kupotea.

5. UTURUKI DHIDI YA WANAVIJIJI WAASI.
Wanakijiji wa eneo la Dersim , walipoleta ubishi kuwa chini ya serikali ya Uturuki badala yake wakang'ang'ania sheria na taratibu zao, Jeshi lilitumwa, Makabila matatu yaliyojisalimisha yaliuliwa wote, Wakina mama na watoto waliokimbilia kwenye Mapango, Yalifunikwa na mawe, moto ukawashwa na wakafa kwa moshi. Inakadiliwa kwa siku moja watu karibu 2 MILLION waliuliwa na wengine kutekwa.

6. DICTETA WAKIRUSI STALIN ALIPOUA MAMILIONI UKRAIN KWA NJAA.

Waukraini walipata upenyo baada ya kuanguka utawala wa Czar Urusi wakataka kujitawala. Jenelali Stalin alipochukua Madaraka akaliona hilo. Pia Vradmil Lenin alikuwa kaishaweka mikakati ya kurudisha maeneo yote. Wao wakambishia na kuendelea na Harakati. Kwanza alikamata wasomi waliokuwa wanahojihoji 5000 na kuwaua wote, Akachukua mashamba ya raia yote. Akawapa adhabu ya njaa hadi nchi nzima isalimu amri kwake. Inasadikiwa kwa sababu ya njaa kila siku watu 2500 walikuwa wanakufa, na walifika watu karibu million 5.

7. MAUAJI YALIYOFANYA NA WAZUNGU DHIDI YA WAMAREKANI ASILIA (WAHINDI WEKUNDU).

Mamilioni ya hawa jamaa waliuliwa bila huruma. Ila hapa tutazaungumzia kabila dogo tu la MOQUI katika mji ulioitwa AWATOVI huko ALIZONA. Wahispania Makasisi walifika wakawalazimisha kuwa wakristo wakagoma. Ikabidi liitwe jeshi, maana wakazi waliwachukia wahispania na wachache waliobadili dini. Wanaume wakiwa kwenye sherehe Walivamiwa na kuuliwa. Wanaume wote. Wanawake na watoto wakachukuliwa mateka. Wakiwa njiani wakabishana wawapeleke wapi, wakaamua kuwaua woote ili kujipunguzia mizigo.

8: JEAN JACQUES DESSALINES ALIPOIGEUZA HAITI KUWA TAIFA LA WATU WEUSI ASILIMIA MIA.

Kile alichoshindwa kinjekitile wa Maji maji Haiti iliwezekana. Mzungu alikimbizwa na watumwa nchi ikapatia uhuru chini ya mkono wa watu weusi. Baada ya kiongozi wa mapinduzi kuuawa aliyemfuatia alipinga idea zake za kuwavumilia wazungu na machotara. Amri ilitolewa Kuua wazungu wote nchi nzima. Hakuishia hapo tu alipita kila mji kuhakikisha agizo linafuatwa. Katika mji mkuu tu wazungu zaidi ya 800 waliuawa kama wanyama na wengine kukimbia. Ilikuwa revenge ya aina yake. Hadi kesho haiti ni nchi ya watu weusi tu asilimia karibu mia kwa baara la Barani Amerika.

9: VITA VYA BIAFRA - NIGERIA.

Tofauti na tanzania tunamakabila mengi yanayopendana, na Nyerere alisaidia kikubwa, Hii haikuwa hivyo Nigeria. Wanamakabila zaidi ya 300 na yalikuwa karibu karibu kilichosababisha ugomvi mara kwa mara.Tatizo lilianza pale Kabila/kundi kubwa la IGBO walipojikatia nchi na kutengeneza nchi yao ya BIAFRA eneo tajiri kwa mafuta. Serikali haraka ikataka kuwarudisha. Kwa mbinu katili kabisa hata kuzuia chakula na maji yasielekee BIAFRA. Inasemekana kila siku walikuwa wanakufa watu zaidi ya 5000 wengi wao IGBO. Watu zaidi ya Milioni 3 walikufa hadi vita kuisha.

[HASHTAG]#FOLLOW[/HASHTAG] UKURASA HUU WA #HABARI_FORUMS KWA HABARI MAKINI ZAIDI
..Zote Zitaonekana ni Bla Bla TU màana haziina Tarehe ama Mwaka zilipotokea!!
 
Umesahau mauwaji ya watu Zanzibar wakati Tanganyika chini ya Mkatoliki Nyerere Na Okello waliuwa zaidi ya watu 13 000 kwenye mji wa wa watu Laki 1 Na nusu
 
Back
Top Bottom