Kichwa cha habari chahusika. Baada ya kusuasua kwa misimu miwili ni dhahiri sasa kuna mabadiliko yafuatayo yatafanyika Simba SC:
1. Fred Nganjiro (Vunjabei) hataendelea kuwa kit supplier wa Simba. Itapewa kampuni ya nje ya nchi (hasa Afrika kusini) au ndugu yetu mmoja atachukua tender.
2. Baadhi ya wachezaji watapewa mkono wa kwaheri na wengine kupelekwa kwa mkopo.
Wachezaji: Jonas Mkude, Habib Kyombo, Augustine Okra, Nassoro Kapama, Victor Akpan, Nelson Okwa, Mohamed Outara, Gadiel Michael, Beno Kakolanya, Ismail Sawadogo na pengine Peter Banda wataoneshwa mlango wa kutokea.
3. Watasajiliwa wachezaji katika nafasi zifuatazo: Golikipa, Beki wa kati Viungo wakabaji , Kiungo Mshambuliaji , Mawinga, Beki wa kushoto na (Striker).
4. Mchua misuli (Fareed Casem) na kocha wa viungo(Kelvin Mandra)wataondoshwa.
5. Mo atahusika kwa ukaribu na usajili.
6. Kuna wachezaji tegemeo wataondoka. Kama si Baleke, Sakho, Zimbwe basi Inonga