Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Mo aondoke klabuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fei Toto hana gharama kubwa kama mnavyoambiwa. Anachukuliwa kirahisi kwa buyout clause ya milioni 113 kama aliyoexercise yeye. Sababu nyingine ni mkataba wake umebaki wa mwaka mmoja hivyo unaweza ukafidiwaFeitoto gharama yake Kwa Sasa ni kubwa kuliko Morrison kwakua uwekezaji uliofanywa juu yake ni mkubwa sana.
Kama Fei angekua anacheza Tukunyema Boys uko Newala asingefikia kiwango alichonacho. Mwangalie Fei aliyekua Yanga na Fei aliyetokea vichakani Kuja kuchezea Taifa stars.
Nakama bado mna fikra za kupata mchezaji wa $20, 000 kutokea nje mwenye uwezo wa Kuja kucheza Simba hesabuni maumivu Kwa miaka mingi sana.
Haya ichangie Simba kulipa mishaharaMo aondoke klabuni
Mbumbumbu kwenye ubora wakoFei Toto hana gharama kubwa kama mnavyoambiwa. Anachukuliwa kirahisi kwa buyout clause ya milioni 113 kama aliyoexercise yeye. Sababu nyingine ni mkataba wake umebaki wa mwaka mmoja hivyo unaweza ukafidiwa
Kama hukutajwa kwenye wale wawili wenye akili mimi ni nani nikutaje? Huelewi kitu kuhusu sokaMbumbumbu kwenye ubora wako
Wanajishughulisha na habari za Fei.😅😅Aisee, Shadeeya njoo utujibie hili suuali
Hakuna kijiji kinachokosa wazee!.Katika hiyo list yako hakuna Mzee Bocco na Mzee Onyango??
Bila viporo ni majangaKatika hiyo list yako hakuna Mzee Bocco na Mzee Onyango??
Mbumbumbu on one and twoKama hukutajwa kwenye wale wawili wenye akili mimi ni nani nikutaje? Huelewi kitu kuhusu soka
Huyo kocha wa viungo hakuwa anafaa tangu mwanzo, kuhusu atakayekuja nadhani kocha mkuu aamue yeye.Tayari kocha wa viungo kashatembea
Huyo kocha wa viungo hakuwa anafaa tangu mwanzo, kuhusu atakayekuja nadhani kocha mkuu aamue yeye
Yaani ni aibu, mechi zingekuwa zinaendelea angefikisha 15Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.
Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!
Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
Vipi gharama ya Feitoto ni kubwa kama ulivyotuaminisha hapa?Feitoto gharama yake Kwa Sasa ni kubwa kuliko Morrison kwakua uwekezaji uliofanywa juu yake ni mkubwa sana.
Kama Fei angekua anacheza Tukunyema Boys uko Newala asingefikia kiwango alichonacho. Mwangalie Fei aliyekua Yanga na Fei aliyetokea vichakani Kuja kuchezea Taifa stars.
Nakama bado mna fikra za kupata mchezaji wa $20, 000 kutokea nje mwenye uwezo wa Kuja kucheza Simba hesabuni maumivu Kwa miaka mingi sana.